WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA SNGIDA
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenuyekiti wa CCM wa Mkoa wa Singida, Martha Mlata baada ya kuwasili Ikulu Ndogo ya Singida Novemba 29, 2017. Kesho Mheshimiwa Majaliwa anatarajiwa kuwa...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AHUDHURIA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD SAW...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Al hajj Ali Mohamed Shein, akisalimia na Mwenyekiti wa Kamati ya Maulid ya Mfungo Sita Zanzibar Sheikh Shirali Champsi alipowasili katika...
View ArticleDK SHEIN AHUDHURIA MAULID YA MFUNGO SITA ZANZIBAR JMAULID YA MFUNGO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Al Hajj Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama Qiyam Taala na viongozi wa jukwaa kuwa katika hafla ya kuadhimisha sherehe ya Maulid ya kuzaliwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSANI AHUDHURIA KILELE YA SIKU YA UKIMWA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TAYOA Bw. Peter Masika wakati alipotembelea banda la TAYOA wakati wa kilele...
View ArticleTTCL INAWATAKIA WATANZANIA WOTE SIKUKUU NJEMA YA MAULID
div class="separator" style="clear: both; text-align: center;">
View ArticleMAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA RAIS WA ZANZIBAR WAKIPIGA KURA
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipiga kura yake kuwachagua Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa hafla...
View ArticleMAKAMU WA RAIS SAMIA HASSANI AHUDHURIA SIKU YA WALEMAVU ZANZUBAR LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya kikundi cha Walemavu kutoka Mwembe Makumbi kinachojishughulisha na kutengeneza viatu vya ngozi wakati...
View ArticleSPIKA JOB NDUGAI MGENI RASMI UFUNGUZI WA MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE YA...
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (aliesimama) akiwatambulisha Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika...
View ArticleTAASISI YA WAJIBU YAANDAA KONGAMANO LA WAJIBIKA
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya WAJIBU –Institute of ublic Accountability Ludovick Utouh (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Kongamano la siku mbili la Uwajibikaji...
View Articlechama cha mafamasia nchi launga mkono tamko la Rais
Rais wa Chama cha Wafamasia Tanzania (PST) Issa Hango (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu kuunga mkono tamko la Rais John Pombe Magufuli juu ya uanzishwaji wa viwanda...
View ArticleBONANZA LA MBUNGE WA SEGEREA LA FANA
Mbunge wa Segerea Mh. Bonnah Kaluwa amejumuika na wakazi wa jimbo lake katika bonanza lilijomuisha michezo mbalimbali. Bonanza hilo lililofanyika katika uwanja wa Sigara uliopo Tabata lilikuwa ni...
View ArticleArticle 0
Na Lilian Lundo na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMARais Dkt. John Pombe Magufuli amesamehe jumla ya wafungwa 8,157 katika maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika leo katika...
View ArticleCHUO KIKUU CHA SAUT NA MATAWI YAKE CHATOA WAHITIMU 8687.
Dkt. Judith Adongo Aloo akitunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) katika fani ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Mt. Augustino Tanzania (SAUT)na Askofu Flaviani Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki la Geita kwa...
View ArticleArticle 2
WIMBO MPYA: COYO - NyakaNyaka (AUDIO/VIDEO)Huu ni wimbo mpya kutoka kwa COYO, "NyakaNyaka" uliotayarishwa na Producer DayDream kwa kushirikiana na KidBway. Nimeambatanisha Wimbo na Beat.Pia,Hapo...
View ArticleArticle 1
DYNAMIC DECEMBER OFFERWEBSITE DESIGNNOW STARTING FROMTshs. 300,000/-*Contact:Email: info@powerwebtz.comCall: +255 786 110 021 / +255 786 792 976 / +255 22 213 3039123Tanzania E-Shots123Tanzania.com is...
View ArticleArticle 0
ROBOTICS SUMMER CAMPAge Group: 8 -15 YearsTimings: 9:00am onwards (2 hour sessions)Day: 11th - 22nd DecLocation: Mindu Street, UpangaZahra Arcade Shop No. 3FOR MORE DETAILS:ROBOTECH LABSCall:+255 788...
View ArticleNEC yawajibu UKAWA
Na Mwandishi MaalumMKURUGENZI wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Kailima Ramadhani alisema chama cha siasa kutangaza kugomea kushiriki uchaguzi hakuwezi kuifanya tume ihahirishe uchaguzi...
View ArticleRC MBEYA MHE. AMOS MAKALA AFUNGUA MAFUNZO YA MADAKTARI WA KANDA YA NYANDA ZA...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Amos Makala, akihutubia wakati akifungua rasmi mafunzo ya siku tano kwa madaktari wanaofikia 100 kutoka mikoa saba ya kanda ya nyanda za juu Kusini, kwenye ukumbi wa...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFUGULI AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI...
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Maria Nyerere na Mama Fatma Karume wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika ukumbi wa mikutano wa...
View ArticleArticle 1
Wateja na wapenzi wa 4G nchini Tanzania wamekuwa wakifurahia intaneti yenye kasi na muda zaidi, kitu ambacho kwa kiasi kikubwa kimewashawishi wafanyabiashara na wananchi, hasa wazazi na wamiliki wa...
View Article