BREKING NEWS WALES KARIA NA RICHARD WAMBURA WAMEIBUKA KIDEDEA TFF
Rais Mpya wa shirikisho la mpira TFF Wales Karia ameibuka kidedea katika uchaguzi mkuu uliofanyika leo mkoani Dodoma amepata kura 95 na kuwashinda wagombea wezanke watano Iman Madega, Fredrick...
View ArticleKATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BIBI SIHABA NKINGA...
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinisa, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga akizungumza na wazee kwenye Ukumbi wa Shule ya Sekondari Dodoma wakati akifungua Kongamano la Wazee kuelekea Kilele cha Siku...
View ArticleArticle 0
TANZANIA HAINA BUDI KUTUMIA MIFUMO YA KIDIGTALI KUJITANGAZA KIMATAIFA Na Jumia TravelWakati dunia ikisherehekea siku ya Utalii Duniani, Jumia Travel imebainisha kwamba matumizi ya tekinolojia za...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 10,2017
:Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiingia bungeni tayari kuongoza Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini...
View ArticleArticle 1
frank Mvungi- Maelezo , Dodoma Serikali Kuendelea Kuimarisha Matibabu ya Saratani nchini. Serikali imesema itaendelea Kupanua wigo wa Upatikanaji wa huduma za Matibabu kwa wagonjwa wenye saratani ili...
View ArticleMWAKYEMBE AKIUZUNGUMZA NA KAMATI YA AFCON LEO
WAZIRI WA HABARI SANAA UTAMADUNI NA MICHEZO HARRISONI MWAKYEMBE AKIZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MAANDALIZI YA AFCON UNDER 17 MIKAKATI MBALI MBALI ITAKAYOFANYIKA MWAKA 2019 YATAKAYOFANYIKA...
View ArticleBalozi wa china akutana na jenista mhagama leo
waziri wa ofisi ya nchi ofisi ya waziri mkuusera bunge ajira kazi ajira na wenye ulemavu jenista mhagama akizungumza na Balozi china hapa nchini Wang Ke alipomtembelea ofisi kwake mjini Dodoma Picha...
View ArticleBREKING NEWZZZZZZZZZ WATU 17 WAMENUSURIKA KUFA BAADA YA BOTI KUZAMA LEO
Habari zilizotufikia hivi punde watu kumi na saba 17 wamenusurika kufa na wengine kujeruhiwa baada ya boti inayojulikana kwa jina la MV JULIUS kuzama katika kisiwa cha gozba Muleba mkoani Kagera...
View ArticleSPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI APOKEA TAARIFA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA...
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kushoto) akipokea taarifa ya Mkutano wa Bunge la Afrika uliofanyika kuanzia tarehe 6 mpaka 20 Oktoba, 2017 nchini Afrika ya kusini, wakiongozwa na...
View ArticleIbrahim Class awapa Watanzania kile walichotarajia
Bondia Mtanzania Ibrahim Class (kushoto) akipambana na na Mwenzie kutoka Afrika Kusini Koos Sibiya katika pambano la kimataifa la ngumi lenye mizunguko kumi na mbil lililofanyika jana Jijini Dar es...
View ArticleMakamu wa Rais afungua kikao cha kujadili changamoto mbali mbali zinazohusu...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati)akiongoza kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,...
View ArticleWakaazi wa Arusha watambulishwa bidhaa bora za umeme jua(sola)
Mkazi wa Arusha Mzava Nsanjiwa akitazama jiko linalotumia nishati ya jua katika banda la Kampuni ya Sola ya Sunking katika maonyesho yaliyofanyika kwa ajili ya kuhamasisha wakaazi wa Arusha kutumia...
View ArticleBALOZI WA CHINA AMTEMBELEA RAIS WA ZANZIBAR LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe.Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa...
View ArticleRais wa Zanzibar Dk Shein Azungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Alipofika...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Kijarida cha Mahakama Kuu Tanzania na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma alipofika Ikulu...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AWASILI NAIROBI KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE SHEREHE ZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Mjini Nairobi nchini Kenya ambako anamwakilisha Rais wa...
View ArticleKAMPUNI YA BIMA YA RESOLUTION YAWAKUTANISHA MADALALI WA BIMA, WARUDISHA...
Mgeni Rasmi Bw. Charles Washoma ambaye ni Meneja Mkazi wa Africa Practice mshauri akitoa shukurani zake za dhati kwa Kampuni ya Bima ya Resolution kwa kuwakutanisha Madalali wa Bima 'Insurance...
View ArticleSPIKA JOB NDUGAI AONGOZA MAWAZIRI, WABUNGE NA VIONGOZI MBALI MBALI KATIKA...
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiongoza Mawaziri, Wabunge pamoja na viongozi mbali mbali wa serikali katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini marehemu Mhe. Leonidas...
View ArticleMAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU hASSANI AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS WA KENYA
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan (wa tatu kulia) akiwa pamoja na viongozi wengine wa nchi mbalimbali waliohudhulia katika Sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Rais Uhuru Kenyatta...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MENEJA WA COCA COLA AFRIKA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Coca Cola Afrika Mashariki Bw. Ahmed Rady (kushoto) ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu...
View Article