Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA RAIS WA ZANZIBAR WAKIPIGA KURA

$
0
0

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipiga kura yake kuwachagua Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Marumbi Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)
:Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano  Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kusini Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Kusini Unguja akipiga kura kuchagua viongozi wa CCM mkoa wa Kusini Unguja wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika kwenye Hoteli ya Coconut Tree, Marumbi wilaya ya Kati mkoa wa Kusini Unguja(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles