Article 0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Naibu Katibu Mkuu CCM bara Mhe. Philip Mangula na viongozi...
View ArticleTIMU YA STAND UNITED WAPATA MDHAMINI BIKO
Mwakilishi toka Bodi ya Michezo ya kubahatisha Kabora Mboya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi shilingi milioni moja kwa timu ya Stand United ikiwa ni...
View ArticleArticle 1
Mkurugenzi Mtendaji wa Reaching Out Destinies Foundation(RDF) Bi. Jane David akifungua rasmi kwa maombi sherehe za kuwashukuru wadau wao kwa kuwa nao kwa muda wa mwaka mzima, na baadae kutoa...
View ArticleArticle 0
Malipo kwa walimu baada ya matokeo yamewezesha wanafunzi kujifunza kwa ufanisi sawa na nyongeza ya nusu muhula katika mwaka wa masomoKuwalipa walimu bahshishi kumewanufaisha wanafunzi zaidi ya 48,000...
View ArticleWasanii watakiwa kutengeneza kazi nzuri zitakazovutia Wadhamini.
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Wasanii (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa MaxBurudani ulioandaliwa na...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ATEKELEZA AHADI YAKE YA SH. MILIONI 60 KWA WAJUMBE WA...
Katibu wa Rais Ngusa Samike akikabidhi kiasi cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya kutekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AHAMIA RASMI DODOMA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakati akiwasili kwenye hafla fupi ya...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo.PICHA NA IKULU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli...
View ArticleArticle 0
Na Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW).Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) imetakiwa kuendelea kuwaandaa wataalamu katika fani za Elimu ya Watu Wazima na Maendeleo ya Jamii wenye ubunifu wa...
View ArticleWasanii na bodi ya filam
: Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akifanya mahojiano na baadhi ya watangazaji wa vituo vya luninga alipokuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Filamu ya From Nigeria...
View ArticleHALI YA UZALISHAJI UMEME VITUO VYA PANGANI HYDRO SYSTEM VIKO KATIKA HAKLI...
Mhandisi Mahenda S. Mahenda, Meneja wa Vituo vya uzalishaji umeme wa maji vya Pangani Hydro Systems, vinavyohusisha inahusisha vituo vitatu, New Pangani, kilichoko wilayani Muheza, Hale wilaya ya...
View ArticleMWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA MKUTANO...
. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia kwa kugonga mkono pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein...
View ArticleZiara ya Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Mkoa wa Kusini Pemba
Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Hassan A. Ramadhan (kulia) akifafanua jambo kwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari M. Sururu (wa pili kulia) kuhusu mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano...
View ArticleTUME YA ARDHI KUANZISHA KANZIDATA YA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI
Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC) ipo mbioni kuanzisha Kanzidata (Database) ya mipango ya matumizi ya ardhi iliyofanyika nchini na wadau mbalimbali wa sekta ya ardhi.Kwa...
View ArticleTANESCO YAHIMIZA MATUMIZI BORA NA ENDELEVU YA MTO PANGANI NA BWAWA LA NYUMBA...
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidMATUMIZI bora ya bonde la Mto Pangani, ndio njia pekee itakayosaidia kutunza vyanzo vya maji ambayo hutumika kuzalisha umeme kwenye vituo vya Pangani Hydro Systems, Meneja...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU...
wakati wa uzinduzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Miles wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa...
View ArticleYaliyojiri Katika Ziara ya Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Mkoa wa Kaskazini...
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Bwana Omari Khamis Othman Akizungumza na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari M. Sururu (kulia) na Ujumbe aliofuatana nao alipomtembelea ofisini kwake, wakati...
View ArticleTANESCO "YALIA" NA WAHARIBIFU WA MAZINGIRA MITO INAYOLISHA BWAWA LA MTERA
Taswira ya daraja la Mtera, ambalo pia hutumika kama milango ya kupitishia maji ya kusukuma mashine za kufua umeme. picha hii imepigwa Desemba 20, 2017.NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, MteraUHARIBIFU wa...
View Article