Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

DK SHEIN AHUDHURIA MAULID YA MFUNGO SITA ZANZIBAR JMAULID YA MFUNGO

$
0
0

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Al Hajj Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama Qiyam Taala na viongozi wa jukwaa kuwa katika hafla ya kuadhimisha sherehe ya Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika Kitaifa katika viwanja vya maisara Zanzibar.(Picha na Ikulu)

 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali na Wananchi wakiwa wamesimama Qiyam Taala wakati wa hafla ya Maulidi ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Zanzibar.(Picha na Ikulu


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Al Hajj Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Qaswida ya Mwaka wa Kiislam 1439 –Al Hijra na Mwenyekiti wa Kamati ya Maulid ya Mfungo Sita Sheikh Sherali Champsi, wakati wa hafla ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika Kitaifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara.9Picha na Ikulu)
 SHEIKH. Mohammed Kassim kutoka Kamisheni ya Wakfu Zanzibar akisoma hutba ya Kiswahili wakati wa hafla ya sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar.(Picha na Ikulu)


 WANAFUNZI wa Madrasatul Qamaria ya Kibanda Maiti Unguja wakiwa wamesemama wakisoma Qaswida ya Qiyam Taala wakati wa hafla hiyo ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) katika viwanja vya maisara Zanzibar.(Picha na Ikulu)








Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles