Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (aliesimama) akiwatambulisha Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifanya usajili wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Wageni Mbali mbali kutoka nchi za Afrika Mashariki wakifuatilia ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini