Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TAYOA Bw. Peter Masika wakati alipotembelea banda la TAYOA wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani ambayo kitaifa yalifanyika jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Da es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Da es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)![]()

19-24:Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Da es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
26-28: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua taarifa ya Utafiti wa viashiria na matokeo ya Ukimwi Tanzania (THIS) wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani ambayo Kitaifa yamefanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
31: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Joakim Mhagama ramani inayoonyesha maeneo yalioathirika na ugonjwa wa ukimwi ambayo yameainishwa kwenye taarifa ya Utafiti wa viashiria na matokeo ya Ukimwi Tanzania (THIS) wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani ambayo Kitaifa yamefanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais![]()
