Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenuyekiti wa CCM wa Mkoa wa Singida, Martha Mlata baada ya kuwasili Ikulu Ndogo ya Singida Novemba 29, 2017. Kesho Mheshimiwa Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria chaTanzania yatakayofanyika mjini Singida. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
↧