Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya WAJIBU –Institute of ublic Accountability Ludovick Utouh (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Kongamano la siku mbili la Uwajibikaji kwa Mamlaka za Serikali za Mtaa linalotarajiwa kuanza kesho Jijini Dar es Saalam, kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus na kushoto ni Afisa Tafiti wa Taasisi hiyo Hassan Kisena.