WIMBO MPYA: COYO - NyakaNyaka (AUDIO/VIDEO)
Nimeambatanisha Wimbo na Beat.Huu ni wimbo mpya kutoka kwa COYO, "NyakaNyaka" uliotayarishwa na Producer DayDream kwa kushirikiana na KidBway.
Pia,
Hapo chini ni link ya video ya "NyakaNyaka" iliyoongozwa na director Hanscana.