WAZIRI WA HABARI SANAA UTAMADUNI NA MICHEZO HARRISONI MWAKYEMBE AKIZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MAANDALIZI YA AFCON UNDER 17 MIKAKATI MBALI MBALI ITAKAYOFANYIKA MWAKA 2019 YATAKAYOFANYIKA HAPA NCHINI PICHA NA ANITHA JOHN WHUSM
MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATGI YA AFCON LEODGA TENGA KULIA AKIZUNGUMZA WAKATIKA WA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MASHINDANO YAKAYOFANYIKA MWAKA 2019 HAPA NCHINI KATI NIWAZIRI WA HABARI UTAMADUNI SANAA NA UTAMADUNI HARRISONI MWAKYEMBE NA KUSHOTO NI RAIS WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU NCHINI WALLACE KARRIA PICHA NA ANITHA JOHN WHUSM