Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati)akiongoza kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kushoto ni Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Mohamed aboud Mohamed na kulia ni Waziri