Rais Mpya wa shirikisho la mpira TFF Wales Karia ameibuka kidedea katika uchaguzi mkuu uliofanyika leo mkoani Dodoma amepata kura 95 na kuwashinda wagombea wezanke watano Iman Madega, Fredrick Mwakalebela,Ally Mayay, Shija Richard, na Emmanuel Kimbe awali nafasi hiyo ya Urais alikuwa anakaimu wakatin Rais aliepita kuwa na matatizo na Nafasi ya Umakamu wa Rais imechukuliwa na Richard Wambura blog ya mzuka inawapongeza wote waliofanya vizuri katika uchaguzi na u=kuchaguliwa tunataka soka hatutaki kuhesabu pasi
↧