Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akifafanua jambo kwa wazee walioshiriki Kongamano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Shule ya Sekondari Dodoma.
Mtaalamu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Huduma za Jamii Dkt. Daudi Kaale akijibu hoja mbalimbali za wazee kwenye Kongamano la Wazee kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani lililofanyika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Dodoma.
Baadhi ya Wazee kutoka mikoa ya Tanzania Bara wakifuatilia mada mbalimbali katika Kongamano la Wazee kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani liliofanyika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Dodoma. |