Habari zilizotufikia hivi punde watu kumi na saba 17 wamenusurika kufa na wengine kujeruhiwa baada ya boti inayojulikana kwa jina la MV JULIUS kuzama katika kisiwa cha gozba Muleba mkoani Kagera kwa mujibu wa mkuu wa mkuu wa polisi Mwanza Agustino amethibitisha ajali hiyo na kusema ametuma vijana wake kwenda kuasaidia hali hiyo kamanda huyo amesema boti hiyo ya MV JULIUS ilibeba magunia ya Dagaa 250 na wafanyakazi 12 pamoja na Abiria 5 jula ni watu 17 kamanda huyo amesema boti hiyo ilizama si mbali na eneo la gati hatua chache ilikuwa inaelemewa upande mmoja na watu na boti nyingine kufika katika tukio kamanda agustino kwa mujibu wa breking news ya Radio One blog ya mzuka itawajuza baada ya saa moja
↧