:Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiingia bungeni tayari kuongoza Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Wabunge wakiwa wamesimama wakati wa dua ya kuiombea nchi na bunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe.Dk.Mary Mwanjelwa akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Hamisi Kigwangalla akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
:Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe.Dk.Mary Mwanjelwa akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.