Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

BALOZI WA CHINA AMTEMBELEA RAIS WA ZANZIBAR LEO

$
0
0
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe.Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar na kwa mazungumzo leo 27-11-2017.(Picha na Ikulu)
  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe. Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu leo 27-11-2017. (Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe. Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kulia Balozi Mdogo wa Chini anayefanyia kazi zake Zanzibar Balozi Xie Xiuowu.(Picha na Ikulu)

 /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe. Wang Ke, baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Zanzibar alipofika kujitambulisha leo 27-11-2017.(Picha na Ikulu )

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Zambia Mhe. Abrahaman Kaniki , walipofika kumuaga Rais wa Zanzibar leo Ikulu. 27-11-2017. (Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha Nchi za Zambia na Misri, kulia Balozi wa Tanzania Nchini Misri Mhe.  Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor na Balozi wa Zambia Mhe Abrahaman Kaniki, walipofika Ikulu Zanzibar kumuaga Rais wa Zanzibar leo 27-11-2017.(Picha na Ikulu) 
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha Nchi za Zambia na Misri, kulia Balozi wa Tanzania Nchini Misri Mhe.  Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor na Balozi wa Zambia Mhe Abrahaman Kaniki, walipofika Ikulu Zanzibar kumuaga Rais wa Zanzibar leo 27-11-2017.(Picha na Ikulu) 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles