WAJUMBE KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI NA MADAWA YA KULEVYA...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Capt. Chiku Galawa (kulia) akizungumza na Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya kulevya, Mhe. Venance Mwamoto (kushoto) na Makamu...
View ArticleNAIBU WAZIRI MAVUNDE AKITOZA FAINI YA SHILINGI MILIONI 35 KIWANDA CHA NYUZI...
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde,(watatu kulia), akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha kusokota nyuzi cha PPTL kilichoko...
View ArticleMAANDALIZI TAMASHA LA PASAKA 2018 NI MOTO, WAIMBAJI BEATRICE MWAIPAJA NA PAUL...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani), jijini Dar es Salaam kuhusiana na maandalizi ya Tamasha la Pasaka 2018 litakalofanyika...
View ArticleNAIB U WAZIRI MAVUNDE AKIWA MKOANI MOROGORO
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde, akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha Tumbaku Alliance One Mkoani Morogopro leo Machi 9, 2018. Mhe....
View ArticleMV KITUNDA CHANZA KAZI
Abiria wakiingia kwa mara ya kwanza katika kivuko cha MV. Kitunda tayari kwa kuvuka kuelekea Kitunda wakati kikifanyiwa majaribio. Kivuko hicho cha tani 50 kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari 6...
View ArticleWAZIRI UMMY AWAONYA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WASIOTENGA FEDHA ZA UWEZESHAJI...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akitoa hundi ya Millioni 10 kwa ajili ya kuwezesha vikundi vya wanawake mkoani Rukwa wakati wa Maadhimisho ya Siku ya...
View Articlesemina ya wandishi
hani) katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), 3 Machi, 2018 Jijini Dar es Salaam.(PICHA NA BENEDICT LIWENGA-SPRO-TRA HQ)Baadhi ya Waandishi wa habari waliohudhuria Semina iliyoandaliwa na Mamlaka...
View ArticleIDARA KUU YA MAENDELEO YA JAMII YAJIPANGA KIMKAKATI KUFANIKISHA MALENGO YA...
IDARA KUU YA MAENDELEO YA JAMII YAJIPANGA KIMKAKATI KUFANIKISHA MALENGO YA UTENDAJINa mwandishi wetu - WAMJJW, Dodoma Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya...
View Article: KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZAFANYA UCHAGUZI WA WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI.
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Mhe. Eng. Ramo Makani akiongoza uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo katika kikao...
View ArticleArticle 4
DStv Inakuletea Ratiba ya UEFA Champions League ya Wiki HiiMultichoice Tanzania Jumanne, Mechi ya kwanza ni kati ya Manchester United inayocheza dhidi ya Sevilla, mechi ya pili ni kati ya Roma dhidi ya...
View ArticleSERIKALI YAIPONGEZA COCA-COLA KWA KUWEKEZA KATIKA MASHINDANO YA UMISSETA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Seleman Jafo, akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina elekezi ya maofisa michezo ilifanyika katika Chuo Cha Mipango cha...
View ArticleArticle 2
NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZAUNGANISHA NGUVU KUTOKOMEZA UVUVI HARAMU KATIKA ZIWA VICTORIA. Waziri wa Mifugo na Uvuvi wa Tanzania, Mhe. Luhaga Joelson Mpina(Mb) mwenye miwani akimkabidhi uenyekiti wa...
View ArticleWoman For Woman Health
Woman For Woman HealthIlala Afya Center <noreply@zoommailshots.com>To:FriendAdministrative ManagerIlala Afya Centre PolyclinicUhuru/Mwanza Street JuctionP.O Box 19724Dar es SalaamE:...
View ArticleWanawake wa Tanga Cament waadhimisha Siku ya Wanawake wakilipia bima ya afya...
Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Diana Malambugi, akishikana mikono na mlezi wa watoto katika kituo cha watoto wenye mazingira magumu cha Casa Della Gioia (Nyumba ya Furaha),...
View ArticleDR. HASSAN ABASS AZINDUA TOVUTI YA MISA TANZANIA, JIJINI ARUSHA
Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas(wa kwanza Kulia) na Mwenyekiti wa MISA Tanzania Bi. Salome Kitomari(wa kwanza kushoto) wakizindua rasmi Tovuti ya MISA Tanzania inayopatikana hapa...
View ArticleSERIKALI YATOA HATI ZA KIMILA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - UTUMISHI na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na wananchi wa kijiji cha Lunguya wakati wa ziara ya kikazi ya Kamati ya Kudumu ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AFANIKISHA UCHANGIAJI UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA Yahoo/Inbox
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla ya uchangiaji wa ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Muheza iliyofanyika jana usiku katika hotel ya...
View ArticleMAAFISA HABARI,MAWASILIANO NA UHUSIANO SERIKALINI WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA...
Lango Kuu la Kuingia Hifadhi ya Taifa ya Tarangire iliyopo mkoani Manyara .Mkuu wa Idara ya Utalii,Mhifadhi Theodora Aloyce akitoa maelezo kwa Maafisa Habari,Mawasiliano na Uhusino Serikalini...
View Article