MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA SHIMUTA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania...
View ArticleTANESCO SUMBAWANGA YAPOKEA JENERETA YA KUZALISHA UMEME MEGAWATI 10.
NA SAMIA CHANDE, SUMBAWANGAKITUO cha kufua umeme mkoani Rukwa kimepata jenereta ya kufua umeme yenye uwezo wakuzalisha MegawatI 10 zitakazoimarisha uzalishaji wa umeme mkoani humo.Akizungumzia ujio...
View ArticleArticle 0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevikumbusha vyama vya siasa ambavyo vimesimamisha wagombea ubunge na udiwani katika majimbo mawili na kata tisa kuwa kesho (Februari 10)...
View ArticleMADAWATI YA HUDUMA KWA WATEJA YAWA MKOMBOZI MKOANI RUKWA.
Mudumu wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), kulia, akiwahudumia wanakijiji wa Kirando, Wilayani Nkasi katika Madawati ya dharura Mkoani Rukwa Februari 8, 2018 NA MWANDISHI WETU, NKASIWAKAZI wa...
View ArticleKAIMU MKURUGENZI WA WA BoT TAWI LA MTWARA AWAASA WAANDISHI KUTOA UCHAMBUZI WA...
Kaimu Mkurugenzi wa BoT, Tawi la Mtwara, Bi. Leticia Rweyemamu, akitoa hotuba ya kufunga semina ya sikju tano ya waandishi wa habari za Uchumi, Biashara na Fedha, kwenye makao makuu ya tawi hilo...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA MABALOZI SHEREHE YA MWAKA MPYA MABALOZI...
CODES Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kuwakaribisha Mabalozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam Ijumaa jioni Februari 9, 2018 kabla ya kuanza kwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS KATIKA SIKU YA PILI WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA
Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Juma Abdallah akisoma taarifa ya wilaya yake mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati ziara ya Makamu wa Rais...
View ArticleMRADI WA ORIO MUARUBAINI WA TATIZO LA UMEME MKOANI KATAVI
NA SAMIA CHANDE, KATAVIMradi wa Orio uliotekelezwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Uholanzi na Tanzania kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) umesaidia kujenga kituo cha kuzalisha umeme chenye...
View ArticleRAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWASILI NCHINI UGANDA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebe nchini...
View ArticleArticle 10
SIMBA CEMENT YATOA MIFUKO 3000 KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI MKOANI SINGIDAWaziri wa Mambo ya Ndani,Mwigulu Nchemba kushoto akitokea mifuko 3000 ya Saruji kutoka Mkurugenzi Kiwanda...
View ArticleMKUTANO WA MAKAMU WA RAIS MWANDOYA JIMBO LA KISESA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa Mwandoya jimbo la Kisesa wilaya ya Meatu mkoani Simiyu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
View ArticleSERIKALI NA SHIRIKA LA THAMINI UHAI WAZINDUA KAMPENI YA MATUMIZI BORA YA...
Mkuu wa mkoa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emanuel Maganga (katikati mwenye kotI jeusi) na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la thamini Uhai Dk.Nguke Mwakatundu (wa pili kulia) wakikata utepe kuashiriki...
View ArticleMKUU WA MKOA WA KILIMANJARO ANNA MGWIRAAFUNGUA MAFUNZO YA MADAKTARI...
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira, akifungua mafunzo ya siku tano ya kufanya tathmini yaMfanyaakzi aliyepataulemavu uliotokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi kwa madaktari na...
View ArticleTAKUKURU TANGA YAPOKEA TAARIFA 204 ZA VITENDO YA RUSHWA
Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Tanga,Christopher Mariba wakati akitoa taarifa za utendaji wao kwa waandishi wa habari kwa kipindi cha mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2017. Sehemu ya waandishi wa habari...
View ArticleDAWASA NA DAWASCO ZATAKIWA KUPELEKA HUDUMA ZA MAJI PEMBEZONI MWA JIJI LA DAR
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso (wa pili toka kulia) akiwa na katibu tawala wa Wilaya ya Temeke, Edward Mpogolo wakati wakipatiwa maelezo machache juu ya uharibifu wa miundo mbinu ya...
View ArticleACT KUJENGA SKIMU YA MAJI
NA MWANDISHI WETU KIBAHA.ZAIDI ya wakazi 300 wa Kata ya Mbwawa wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani wanatarajiwa kunufaika na mpango wa uendelezaji wa zaidi hecta 300 za bonde la mto Ruvu kutokana na ujenzi...
View ArticleRAIS MHE.DKT.JOHN MAGUFULI AREJEA NCHINI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MWANZA...
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa MKoa wa Mwanza John Mongella mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa...
View ArticleMAFUNZO YA MADAKTARI WA KANDA YA KASKAZINI YALIYORATIBIWA NA WCF YAMALIZIKA
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, MOSHIMADAKTARI na watoa huduma kutoka Kanda ya Kaskazini, waliokuwa wakishiriki mafunzo ya siku tano (5), ya kufanya tathmini yamfanyaakzi aliyepataulemavu uliotokana na...
View Article