Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

MV KITUNDA CHANZA KAZI

$
0
0

Abiria wakiingia kwa mara ya kwanza katika kivuko cha MV. Kitunda tayari kwa kuvuka kuelekea Kitunda wakati kikifanyiwa majaribio. Kivuko hicho cha tani 50 kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari 6 na kimekuja baada ya kukamilika kwa ujenzi wa maegesho mapya ya Lindi Kitunda ikiwa ni mojawapo ya utekelezaji wa ahadi ya Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa kwa wakazi wa maeneo hayo


Abiria wakishuka kutoka kwenye kivuko cha MV. Kitunda baada ya kuwasili kutokea Lindi mjini wakati kivuko hicho kikifanyiwa majaribio. Kivuko hicho cha tani 50 kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari 6 na ni  mojawapo ya utekelezaji wa ahadi ya Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa kwa wakazi wa maeneo hayo wakati alipofanya ziara mkoani humo.



Kivuko cha MV. Kitunda kikiwa kinapakia abiria wakati kikifanyiwa majaribio mapema leo, Kivuko hicho cha tani 50 kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari 6 na kimekuja baada ya kukamilika kwa ujenzi wa maegesho mapya ya Lindi Kitunda ikiwa ni mojawapo ya utekelezaji wa ahadi ya Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa kwa wakazi wa maeneo hayo.



Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu akipanda kukagua chumba cha mabaharia cha kuongozea kivuko cha MV. Kitunda wakati kikifanyiwa majaribio mapema leo, Kivuko hicho cha tani 50 kina uwezo wa kubeba abiria 100 na magari 6 na na kimekuja baada ya kukamilika kwa ujenzi wa maegesho mapya ya Lindi Kitunda ikiwa ni mojawapo ya utekelezaji wa ahadi ya Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa kwa wakazi wa maeneo hayo.







Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles