Baadhi ya wajumbe waKamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakipunga mikono kuwasalimu wananchi wa kijiji cha Lunguya wilayani Kahama wakati wa ziara ya kikazi ya kamati hiyo yenye lengo la kukagua maendeleo ya miradi.
Mmoja wa wanufaika wa Hati ya Hakimiliki ya Kimila wilayani Kahama akitoa shukrani kwa Serikali kwa kitendo cha kutoa Hati za Hakimiliki za Kimila 275 kwa wananchi wa vijiji vya Lunguya na Segese.A |