FIFAkuongeza fedha za Maendeleo na Kujiendesha kwa Shirikisho
Na Anitha Jonas –WHUSM
24/02/2018
Dar es Salaam.
ShirikisholaSokaTanzania(TFF)kuendelezaviwanjatisanchinikufuatia
kuongezekakwadaulapesazaMaendeleonaKujiendeshazinazotolewana
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFAkuanzia mwaka 2019 .
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari
kuhusumambombalimbaliserikaliiliyojadilinaRaiswaFIFAGianniInfantino
alipokuwa nchini kwa mkutano wake hivi karibuni.
‘’RaiswaFIFAalielezakuongezamaranneyakiwangochapesazamaendeleona
kujiendeshawalizokuwawanatoakwamashirikishokamaTFFmpakakufikiaDola
Milioni MojanaLakiMbili na Nusu kwa mwakana kusemapesahizo ndiyo zitumike
kuendelezaviwanjavyamichezokwaniuwepowaviwanjandiounaosaidiakukuza
vipaji vya soka,’’alisema Dkt.Mwakyembe.
AkiendeleakuzungumzakatikamkutanohuonawaandishiwahabariWaziri
MwakyembealisisitizakuwaRaishuyowaFIFA ametoamsisitizowakutokuwana
hurumakwakiongoziyoyotewashirikishoatakayekuwanamatumizimabayaya
pesapamojanakufanyaudanganyifukwaniyeyeyukomstariwambelekupinga
ufisadi katika sekta ya maendeleo ya Soka duniani.
PamojanahayonaeRaiswaTFFBw.WallaceKariaalitoaufafanuziwahaliya
kifedhakwashirikishonakuelezakufuatiakuweponamatatizokatikashirikisho
hiloFIFAilikuwaimesitishakuwapatiafedhahizozamaendeleonakujiendesha
tangumwaka2015lakinibaadayakuingiauongozimpyaambaoFIFA wameridhika
nao na wameshaupa utaratibu wa kufuatilia fedha hizo.
‘’Raiswa FIFA alituelezakuwafedhahizo zikosalamanchini Zurich nikwambatu
hazikuwazimeruhusiwakuingianchininakwasasatumeshaanzamchakatowa
kufuatiliafedhahizokwakuzingatiamaelekezoyaFIFA hivyobasitutakapopata
fedha hizo Shirikisholitaendeleza baadhiyamiradi ambayo tumekwisha
iandaa,’’alisema Bw. Karia.
Pamoja nahayorais huyoalitoa witowawakazi wajiji laTangawaliyovamiaeneo
linalotarajiakujengwaTechnicalCenteryamchezowasokabasiwaondokemara
moja kabla hawajachukuliwa hatua.
***************MWISHO********************