KATIBU MKUU UN AIPONGEZA TANZANIA KWA KUWA KINARA WA AMANI BARANI AFRIKA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. Antonio Guterres (kushoto) kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleArticle 0
MWENYEKITI WA CCM, RAIS JOHN MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA HICHO MJINI DODOMA MWENYEKITI wa CCM, Rais John Pombe Magufuli, (pichani wapili kushoto), akiongoza kikao cha Kamati Kuu...
View ArticleArticle 7
WAZIRI MKUU MAJALIWA AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU SIR GEORGE, AKUTANA NA BALOZI WA IRANWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifariji Mama Jannet Kahama, Mjane wa Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda...
View ArticlePluijm amejiunga na klabu ya Singinda
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAMALIYEKUWA kocha wa Yanga, Mholanzi Hans Van der Pluijm amejiunga na klabu ya Singinda United iliyopanda Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao.Aliyefanikisha dili...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ATEMEBELEA ENEO LA UJENZI WA IKULU MPYA KIJIJINI CHAMW
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wahandisi na maafisa wa Wakala wa Majengo ya Serikali wakati alipowasili kukagua eneo linapojengwa Ikulu mpya...
View ArticleMKAZI WA KIJIJI CHA ISENGULE MKOANI KATAVI FATUMA ISSA (22) AJIFUNGUA WATOTO 4
Watoto wanne walizaliwa na mwanamke aitwaye Fatuma Issa 22 Mkazi wa Kijiji cha Isengule Tarafa ya Karema mwambao mwa Ziwa Tanganyika Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi wakiwa...
View ArticleTANGAZO LA KUPOTEA KWA KIJANA ERICK RAPHAEL MSYALIHA ,ANATAFUTWA NA
Pichani ni Kijana anayefahamika kwa jina la ERICK RAPHAEL MSYALIHA anayeishi Sinza-Mugabe ametoweka Ghafla Tarehe 13.03.2017 majira ya usiku alipochukuliwa na watu wasio famika akiwa mitaa ya...
View ArticlewAFANYABIASHARA SHINYANGA
Wachuuzi Mkoni Shinyanga wakiwauzia Abiria bidhaa zao katika Stendi Kuu ya Mabasi mapema leo hii ambao waliokuwa wakielekea Dodoma na Dar es Salaam (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ATEMEBELEA ENEO LA UJENZI WA IKULU MPYA KIJIJINI CHAMWINO
-- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wahandisi na maafisa wa Wakala wa Majengo ya Serikali wakati alipowasili kukagua eneo linapojengwa Ikulu...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ATATUA MATATIZO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI KIJIJI CH
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanakjijiji wa Fukayosi wilayani humo aliposimama kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati...
View ArticleTANAPA YAWAPA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI NA UPIGAJI PICHA WAHIFADHI
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) katika kuhakikisha kuwa linaboresha mawasiliano yake baina ya wananchi wanaoishi maeneo jirani na hifadhi wameamua kuwapa mafunzo maalum ya wiki moja...
View ArticleArticle 3
KITABU CHA UWIANO WA TAKWIMU ZA WANAWAKE NA WANAUME CHAZINDULIWA JIJIJINI DAR ES SALAAM Meneja wa Takwimu za Watu na Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Sylvia Meku (katikati) akiwa na wadau...
View ArticleBOMOA BOMOA KANDO YA RELI YALIKUMBA ENEO LA KURASINI DAR
Katapila likibomoa majengo ya Baa ya Pentagon katika oparesheni ya bomoa bomoa nyumba zote zilizojengwa katika hifadhi ya Reli ya Kati eneo la Mivinjeni, Kurasini Dar es Salaam. PICHA NA RICHARD...
View ArticleArticle 1
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MJUMBE WA KAMATI KUU NA KATBU WA CHA kikomunisti cha china (CPC)Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akipena mikono na Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa...
View ArticleArticle 0
TAMTHILIYA YA KICHINA YA 'MFALME KIMA' ILIYOTAFSIRIWA KISWAHILI YAZINDULIWA NCHINI Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante ole Gabriel (wa nne kutoka kushoto) na...
View ArticleWAZIRI JENISTA MHAGAMA AWAONDOA HOFU WANACHAMA WA PPF KUFUATIA UAMUZI WAKE WA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama, akitoa hotuba yake ya kufunga Mkutano wa 26 wa Wamachama na Wadau wa PPF kwenye ukumbi...
View ArticleArticle 2
CHADEMA WAMTAKA RAIS DK. MAGUFULI KUELEZA SABABU ZA KUTENGUA NAFASI YA UWAZIRI WA NAPE NNAUYE Makamu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika (kushoto), akizungumza...
View ArticleArticle 1
TANESCO YATOA TAARIFA YA KATIZO LA UMEME SEHEMU KUBWA YA JIJI MACHI 26SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limesema kituo kikubwa cha kupoza na kusambaza umeme cha Ilala jijini Dar es Salaam, kitakuwa...
View ArticleArticle 0
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHISimu: +255-22-2112035/40Nukushi: +255-2122617/2120486Baruapepe:ps@moha.go.tz 9 Barabaraya Ohio S.L.P. 922311483 DAR ES SALAAMTAARIFA KWA...
View ArticleKATIBU MKUU IKULU MPYA ALPHAYO KIDATA AANZA KAZI RASMI
Katibu Mkuu Ikulu mpya Mhe Alphayo Kidata akisaini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwake kuanza kazi rasmi leo. Pamoja naye ni Katibu Mkuu Ikulu Mstaafu Mhe Peter Ilomo ambaye...
View Article