Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanakjijiji wa Fukayosi wilayani humo aliposimama kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya kikazi ya Dodoma leo Machi 17, 2017.
PICHA NA IKULU
WANANCHI WA FUKAYOSI BAGAMOYO
na f3: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisiliza changamoto za wakulima na wafugaji katika kjijiji cha Fukayosi
wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani aliposimama kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro hiyo akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea
katika ziara ya kikazi ya Dodoma leo Machi 17, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanakjijiji wa Fukayosi
wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani aliposimama kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji
akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya kikazi ya Dodoma leo Machi 17, 2017