JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Simu: +255-22-2112035/40
Nukushi: +255-2122617/2120486
Baruapepe:ps@moha.go.tz
9 Barabaraya Ohio
S.L.P. 9223
11483 DAR ES SALAAM
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
RaiswaJamhuriyaMuunganowaTanzaniaMh.Dr.JohnPombeJosephMagufuli
amewapandishaCheoMaafisasitawaUhamiajikuwaMakamishnawaUhamiaji
kuanziatarehe28mweziFebruarimwaka2017,Wakatihuohuoamewateuakushika
nyadhifa mbalimbali katika Jeshi la Uhamiaji.
WalioteuliwakushikanyadhifahizoniMrakibuwaUhamiaji(SI)EdwardPeterChogero
kuwaKamishnawaDivisheniyaFedhanaUtawala,MrakibuMwandamizi waUhamiaji
(SSI)SamwelRhobbyMagweigakuwaKamishnawaDivisheniyaUdhibitinaUongozi
waMipaka,MrakibuMwandamizi(SSI)waUhamiajiGeraldJohnKihingakuwa
KamishnawaDivisheniyaPasipotinaUraia,MrakibuMwandamiziwaUhamiaji(SSI)
MusangaMbusuroEtimbakuwaKamishnawaDivisheniyaHatizaUkaazinaPasi,
MrakibuMwandamiziwaUhamiaji(SSI)Hannerole Morgan ManyangakuwaKamishna
wa Divisheni ya Sheria.
AidhaMh.RaisamemteuapiaNaibuKamishnawaUhamiajiMouriceDavidKitinusa
kuwaKamishnaChuochaUhamiajichaKikanda(TRITA).Uteuzihuounaanziatarehe
28 mwezi Februari mwaka 2017.
Imetolewa na
Meja Jenerali Projest Rwegasira
Katibu Mkuu
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
26 Machi 201