Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifariji Mama Jannet Kahama, Mjane wa Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni wanafamilia.(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifariji Mama Jannet Kahama, Mjane wa Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni wanafamilia.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Iran Nchini, Mhe. Mousa Farhang kwenye Makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Iran Nchini, Mhe. Mousa Farhang kabla ya mazungumzo yao, kwenye Makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Iran Nchini, Mhe. Mousa Farhang kwenye Makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Iran Nchini, Mhe. Mousa Farhang kabla ya mazungumzo yao, kwenye Makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017.