Katibu Mkuu Ikulu mpya Mhe Alphayo Kidata akisaini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwake
kuanza kazi rasmi leo. Pamoja naye ni Katibu Mkuu Ikulu Mstaafu Mhe Peter Ilomo ambaye alimkabidhi rasmi ofisi
katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
PICHA NA IKULU
Ilomo alipofika kukabidhiwa ofisi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam