Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Browsing all 1239 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

BWENI LA WAVULANA SHULE YA SEKONDARI IYUNGA JIJINI MBEYA LATEKETEA KWA MOTOMkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa mwenye suti akisaidiana na kikosi cha Zima moto kuuzima moto ulioteketeza Bweni la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 7

 MFUKO WA GSM WAMKABIDHI VIFAA VYA UJENZI, MAGODORO, MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA DAR ES SALAAM LEO  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza katika mkutano na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILIMO CHAMKOMBOA MAMA MJANE MWENYE ULEMAVU

 Bi. Zaharia Ally (54) akiwa na wajukuu zake nyumbani kwake.Bi. Zaharia Ally ambaye hayupo pichani hutembea umbali wa Kilometa zaidi ya Tatu  kutoka kwake kufika katika eneo hili  kufuata kuni kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA MOYO WA MWANAMKE

Katika kuelekea siku ya mwanamke Duniani Kanisa la Living Water Centre Kawe kupitia huduma ya Wamama kanisani hapo ikiongozwa na mmbeba maono Mwalimu Lilian Ndegi wameandaa Kongamano linalojulikana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

MKUU WA MAJESHI AONGOZA KUWAAGA MAOFISA MAJENERALI 16 WA JWTZ WALIOSTAAFU Mnadhimu Mkuu mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kwenye gari kushoto) na Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

BOA Yawajengea Uwezo wa Kibiashara Wadau na Wafanyabiashara wa Zanzibar katika Mpango wa Mkurugenzi Mkuu wa Bank Of Africa Bwa. Ammish Owusu Amoah akitowa maelezo kwa Washiriki wa Warasha ya Siku Mbili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

kampuni ya utalii ya Viola,Violet Mfuko akimlisha keki mkurugenzi mwenzake, ambae ni (mme wake) ndugu Kim Godwin Fute,alipokuwa akiazimisha siku yake ya kuzaliwa iliyo fanyika katika hospitali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

\RAIS MAGUFULI AMUAPISHA BALOZI KIJAZI KUWA KATIBU MKUU KIONGOZIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli, akimuapisha Balozi John William Kijazi, kuwa Karibu MKUU Kiongozi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREKING NEWZZZZZ MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF...

Aliekuwa mgombea mwenza kupitia ukawa  Haji Duni  akingia kwenye Hospitali ya Hindumandali leo mchana kumuona Makamu wa Kwanza ra Rais Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamadi  ambaye amelazwa  kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREKING NEWZZZZZ MAALIM SEIF SHARIFF HAMADI ANENA LEO

Katibu mkuu chama cha wananchi CUF Maalim Seif  shariff akiwa kwenye  hospitali ya Hindumandali  akizungumza wandishi wa habari kuelelzea maelndeleo ya Afya yake anasewma sasa iko safi na kama kuna mtu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFANYAKAZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF WA

  Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (katikati) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali Caroline Hanne Van, Raia wa Denmark kwa niaba ya watoto wawili (kitandani) waliodaiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WA MWEZI FEBRUARI, 2016 WAPUNGUA KWA ASILIMIA 5.6  PM MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WA MWEZI FEBRUARI, 2016 WAPUNGUA KWA ASILIMIA 5.6  Mkurugenzi wa Takwimu za Sensa na Jamii Ofisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

e;MGODI WA BULYANHULU WAALIKA WANAWAKE KUJ

Mfanyakazi wa mgodi wa kuchimba dhahabu wa Bulyanhulu, unaomilikiwa na kampuni ya Acacia, akiwa na baadhi ya akina mama sehemu ya uchimbaji chini ya ardhi (underground mining), wakati akina mama wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JPM AMJULIA HALI MAALIM SEIF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli, amemtembelea Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad katika holeti ya Serena Jijini Dar es Salaam. Maalim...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

MKUU WA MKOA WA MTWARA MH. HALIMA DENDEGU AZINDUA RASMI SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2016 KATIKA UWANJA WA MASHUJAA. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh. Halima Dendegu akitoa Hotuba yake kwa wakazi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

AJALI MBAYA YATOKEA LEO ALFAJIRI TABATA - MATUMBI JIJINI DAR ES SALAAMMuonekano wa basi la abiria aina ya DCM baada ya kutokea kwa ajali iliyohusisha magari matatu katika barabara ya Tabata - Matumbi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YARUDI KILELENI LIGI KUU

Timu ya simba  imrfanikiwa tena kukaa  kileleni mwa ligi kuu ya vodacom katika mchezo ulifanyika  leo na kuibuka na ushindi  wa  mabao 3 bila  na zimba inaongoza ligi kuu ya 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) LEORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongeza na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

BARAZA KUU CHADEMA KUAMUA NANI MRITHI WA DKT.SLAA LEO KIKAO cha kamati kuu na hatimaye Baraza KUU la chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, vitaamua Leo Nani hasa mrithi wa aliyekuwa KATIBU Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREKING NEWZZZZZZZ YANGA SHINDA 2-1

MABINGWA WA SOKA NCHINI  TANZANIA  YANGA LEO IMEANZA VIZURI KATIKA MCHEZO WAKE WA KWANZA  WA KLABU BINGWA AFRIKA  BAADA YA KUIFUNGA TIMU YA APR YA RWANDA KWA MABAO 2-1 NA KUSHINDA KATIKA MCHEZO WAKE WA...

View Article
Browsing all 1239 articles
Browse latest View live