Aliekuwa mgombea mwenza kupitia ukawa Haji Duni akingia kwenye Hospitali ya Hindumandali leo mchana kumuona Makamu wa Kwanza ra Rais Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamadi ambaye amelazwa kwa kuangaliwa afya yake akitokea Zanzibar leo Asbuhi mpaka Mpaka kamera ya mzuka wa fungo inaondoka muda wa saa moja usiku bado alikuwa hajaruhusiwa tuna mpa pole
Waheshimiwa wa Jussa akiwa na mwenzake wakitoka kumuopna Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad ambaye amelazwa kwa kuangaliwa afya yake leo asbuhi akitokea Zanzibar picha hii ni nyakati za jioni
Aliekuwa mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba akitoka katika hospitali ya Hindu Mandali kumuona Makamu wa kwanza Rais Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamadi ambaye amelazwa katika hospitali hiyo na kufanyiwa chek up makamu huyo alifika majira ya asbuhi akitokea Zanzibar leo mpaka kamera ya mzuka ikiondoka muda wa saaa moja ya usiku alikuwa kwenye mapumziko hali yake inaendelea vema kwa mujibu wa viongozi hawa waliokwenda kumuona tutakuleteeni habari azaidi ENDELEENI KUASOMA BLOG YA MZ