KIKAO cha kamati kuu na hatimaye Baraza KUU la chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, vitaamua Leo Nani hasa mrithi wa aliyekuwa KATIBU Mkuu wa chama hicho, Dkt.Wilbroad Slaa.
Kikao cha baraza KUU ndicho haasa kitaamua Nani atakuwa KATIBU MKUU wa CHADEMA. Kikao hicho kinaendelea jijini Mwanza.