NGOMA , TAMBWE YAITIBULIA SIMBA KUONGOZA LIGI
Timu ya Simba leo imeshindwa kutamba mbele ya mabingwa wa Tanzania Dar Yougs Africa baada ya kufungwa bao mbili kwa bila katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom uliofanyika leo kwenye uwanja wa...
View ArticleArticle 3
BENKI YA POSTA TANZANIA YAJENGA VYOO VYENYE THAMANI YA SH. MILIONI 4.7 KATIKA SHULE YA MSINGI MAKAMBI ILIYOPO MANISPAA YA SONGEA MKOANI RUVUMA Wanafunzi wa shule ya msingi ya Makambi iliyopo Kata...
View ArticleArticle 1
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWAZIRI MKUU ATINGA BANDARI YA TANGAWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo jioni (Ijumaa, Februari 19, 2016) amekagua bandari ya Tanga na kumtaka Mkuu wa Bandari ya Tanga (Port...
View ArticleZAKIA MEGHJI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI MOI J
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Zakia Meghji (wa kwanza kulia) akifungua Baraza la tatu la Wafanyakazi Taasisi hiyo sambamba...
View ArticleMKALI WA NDONDI THOMAS MASHALI KUTAFUTIWA MBA
Bondia Salum Nassoro akipasha na kocha wake, Maneno Abdallah katika gym yao iliyopo Mazense Midizini. Promota wa mchezo huo, Haruna Musa katika picha ya pamoja na bondia, Salum Nassoro.Kampuni ya...
View ArticleBANKI YA POSTA YAZINDUA VYOO
Meneja Mwandamizi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Benki ya Posta, Noves Moses akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua vyoo vyenye matundu 14, vitakavyohudumia wanafunzi 850 katika shule ya Msingi ya...
View ArticleArticle 7
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAMUAGA MWAKILISHI MKAZI WA UNHCR, JOYCE MENDS-COLEWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akimkabidhi zawadi ya picha Mwakilishi Mkazi wa Shirika...
View ArticleArticle 6
CHAMA CHA BODABODA WILAYA YA NACHINGWEA CHATOA MIKOPO YA PIKIPIKI 62 KWA WANACHAMA WAKEMgeni rasmi Wilson Nyamanga (watatu kushooto), akikabidhi pikipiki kwa mwanacha wa chama cha waendesha bodaboda...
View ArticleArticle 5
17TH EAC HEADS OF STATE SUMMIT SET FOR 2ND MARCH, 2016 IN ARUSHA, TANZANIAThe 17th Ordinary East African Community (EAC) Heads of State Summit has been rescheduled for 2nd March, 2016 in Arusha,...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, AMWAKILISHA M
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi Tawi jipya la Benki ya Amana, wakati alipokuwa akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleUTT-PID YATEMEBELEWA NA MKURUGENZI WA MIPANGO
Afisa Mtenaji Mkuu wa Taasisi ya Serikali ya Miradi na Manedeleo ya Miundombinu UTT-PID, Dkt. Gration Kamugisha (kulia), akimkaribisha Mkurugenzi wa Mipango, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango,...
View ArticleArticle 2
BLOGU YA WANANCHI YATIMIZA MIAKA MITATU SHEREHE KUFANYIKA KESHO HOTELI YA HYATT REGENCY KEMPISKY JIJINI DAR ES SALAAM Mkurugenzi Mkuu wa Blogu ya Wananchi, William Malecela 'Le Mutuz' , akizungumza na...
View ArticleYANGA YAIPIGWA MAURITIUS YA JOACHIM
timu ya yanga imefanikiwa kuifunga timu ya joachim kwa mabao 2 -0 katik mchezo wa ligi ya mabingwa ya Afrika mchezo wa uliochezwa katika uwanja wa Taifa leo kwa hiyo yanga imeshinda jumla ya mabao 3-0...
View ArticleArticle 0
MWANAHABARI SULEIMAN MSUYA WA GAZETI LA JAMBO LEO AACHANA NA UKAPERA Mwanahabari Suleiman Msuya wa Gazeti la Jambo Leo akitafakari jinsi atakavyoyaanza maisha ya ndoa baada ya kufunga ndoa na Shamim...
View ArticlePAMBANO LA CHEKA NA MSEBIA
CHEKA NA MSERBIA: Bondia Mtanzania Francis Cheka (kulia) akichapana na mpinzani wake bondia kutoka nchini Serbia, Geard Ajetovic, wakati wa pambano lao la raundi 12 la ubingwa wa Mabara , uzito wa...
View ArticleBREKING NEWWWZZZZZ SIMBA YAUA SINGIDA BAO 5-1 KOMBE LA FA LEO UWANJA WA TAIFA
Timu ya Simba imeshinda katika kuwania kufuzu robo fainal ya kombe la FA na kuifunga timu ya Singida kwa mabao 5-1 mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa leo kwa timu ya simba inaungana na klabu ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. BILAL AKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA MASHINDANO...
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, mshindi wa kwanza wa Mashindano ya kumtafuta mwakilishi wa Nchi atakayeiwakilisha Tanzania...
View Article