MABINGWA WA SOKA NCHINI TANZANIA YANGA LEO IMEANZA VIZURI KATIKA MCHEZO WAKE WA KWANZA WA KLABU BINGWA AFRIKA BAADA YA KUIFUNGA TIMU YA APR YA RWANDA KWA MABAO 2-1 NA KUSHINDA KATIKA MCHEZO WAKE WA UGENINI MABAO HAYO YAMEFUNGWA NA JUMA ABDUL KIPINDI CHA KWANZA NA KAMUSOKO AMEFUNGA KIPINDIU CHA PILI TUTAWAJUZA ZAIDI NA MZUKA WA FUNGO
ZAIDI SOMA MZUKA
ZAIDI SOMA MZUKA