Katibu wa Rais Ngusa Samike akikabidhi kiasi cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya kutekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa hapo jana mara baada ya kuendesha harambee ya papo kwa papo ambapo kiasi hicho cha fedha kilipatikana.

Katibu wa Rais Ngusa Samike akizungumza mara baada ya kukabidhi kiasi hicho cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya. Katika fedha hizo, kiasi cha Shilingi milioni 50 zitagawiwa kwa wajumbe wote wa CWT waliopo mkutanoni na kiasi cha Shilingi milioni 10 ni kwa ajili ya wanafunzi Tarajali wa UDOM waliohudhuria ufunguzi wa mkutano huo