SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAZINDUA NEMBO YAKE MPYA JIJINI DAR ES SALAAM
Baadhi ya viongozi wa Idara za Shirika la Posta Tanzania, wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Nembo mpya ya shirika hilo, jijini Dar es Salaam leo, ambapo Mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Ujenzi,...
View ArticleMPANGO WA PILI WA TAIFA WA HUDUMA JUMUISHI ZA LIFEDHA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati akizindua Mpango wa Pili wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha katika ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es Salaam. Picha zote na KAJUNASON/MMG. Gavana wa...
View ArticleWANANCHI WA KATA YA GAIRO WAOMBWA KUENDELEA KUCHANGIA SEKTA YA ELIMU
Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Shaidi Mchembe akimkabidhi mifuko ya saruji kwa Diwani wa Chakwale Mhe. Maneno ili iweze kusaidia katika ujenzi wa madarasa, ofisi za walimu na nyumba za walimu....
View ArticleNAIBU WAZIRI WA AFYA NDUGULILE AKIWA KISARAWE
DK NDUGULILE AZINDUA PROGRAMU YA KIKUNDI MLEZI KWA WANAWAKE WAJASILIAMALI.Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akinunua mvinjo kwa moja ya...
View ArticleTANGA CEMENT YAIPIGA JEKI SEKONDARI YA NYAMATONGO MKOANI MWANZA
Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Cement, Lawrence Masha akishikana mikono na Mbunge wa zamani wa Geita, Dk. Fortunatus Masha kabla ya kukabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Mwenyekiti wa Halmashauri...
View ArticleTANESCO YAWAOMBA RADHI WATEJA WANAOTUMIA MFUMO WA MALIPO WA E-PAYMENT
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutoa taarifa ya kuomba radhi wateja wanaotumia mfumo wa "e - payment" ili kuunganishiwa umeme "service line" kwa kushindwa kupata huduma hiyo kutokana na...
View ArticleOFISI YA MAKAMU WA RAIS YAKANUSHA TANGAZO LINALOTANGAZA USHIRIKI WA MAKAMU WA...
TAARIFA KWA UMMAOfisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakanusha tangazo linalosambaa katika Mitandao ya Kijamii linalomhusisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA FAMILIA TAKATIFU KATIKA KANISA LA MTAKATIFU...
RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA FAMILIATAKATIFU KATIKA KANISA LA MTAKATIFUPETRO JIJINI DAR ES SALAAM.Picha namba 1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleArticle 2
Na. Paschal Dotto.MMAELEZOSerikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imewatoa hofu wananchi kuhusu uvumi wa kuongezeka kwa deni la Taifa kwamba deni hilo ni himilivu na liko chini ya ukomo wa...
View ArticleUHARIBIFU WA MAZINGIRA GAIRO
div style="text-align: center;"> Mkuu wa Wilaya Mhe. Siriel Shaidi Mchembe (kushoto) akiwa pamoja na Meneja wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Bw. David Mahiba pamoja na Kamati ya Ulinzi...
View ArticleArticle 0
JK AUNGANA NA WANA MSOGA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2018 Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Kikwete, na mkewe mama Salma, na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, (kulia kwa JK),...
View ArticleFAMILIA YA NGUZA VICKING YAKUTANA NA RAIS DKT MAGUFULI IKULU DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu...
View Article: RAIS DKT MAGUFULI ATOA POLE MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa wafiwa alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kwenye msiba wa Marehemu...
View ArticleTRA Yatoa Utaratibu wa Kusajili Walipa Kodi Wadogo.
Kamishna wa Kodi za Ndani, Elijah Mwandumbya (kulia)akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa Kampeni ya Usajili wa Walipakodi.Na Jacquiline...
View ArticleMAKMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA MKE WA KANGI LUGOLA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Kangi Lugola alipofika kutoa pole ya msiba wa mke wa Kangi...
View ArticleWAGONJWA 64 WAHAMISHIWA MLOGANZILA
Januari 5, 2018Na Judith Mhina - MAELEZOJumla ya wagonjwa 178 kutoka mikoa ya Dar Es Salaam, Pwani na Morogoro wamehamishiwa katika Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi...
View ArticleArticle 0
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) akipongeza uongozi wa chuo cha Teknolojia Dar es Salaam kwa kuaandaa vijana wenye weledi katika uandaaji wa filamu...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU MSTAAFU...
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa...
View ArticleNAPE AFUNGUKA AKIMNADI DK. NDUMBARO ADAI KAMWE HATA IHAMA CCM
Nape akibadilishana mawazo na Dk. NdumbaroNa Gideon Mwakanosya-SongeaMBUNGE wa jimbo la Mtama mkoa wa Lindi Nape Nnauye amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kukihama chama cha mapinduzi (CCM) kama baadhi...
View ArticleTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIATUME YA TAIFA YA UCHAGUZITAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata nyingine sita utafanyika Februari 17...
View Article