KAMPUNI YA ULINZI YA SGA YATOA MSAADA WA MASHINE YA KUPUMU
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Ulinzi ya Security Group Africa (SGA), Eric Sambu (kulia) akimkabidhi mshine ya kupumulia na mashuka, Mratibu wa Tiba katika Hospitali ya Mwananyamala, Dk Daniel Nkungu....
View ArticleArticle 21
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATUA KIJJINI KWAKE Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na wapigakura wke baada ya kuwasili kijijini kwake Nndagala wilayni Luangwa kwa mapumziko mafupi Desemba 20, 2015. (Picha na...
View ArticleArticle 20
WAZIRI UMMY MWALIMU ATUA HOSPITALI YA BOMBO MKOANI TANGAWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na mmoja wa wahudumu wa afya (jina lake halikuweza...
View ArticleArticle 19
Wafanyakazi TBL washerehekea mafanikio ya kampun Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Dar es Salaam katika picha ya pamoja wameshikilia kombe la ushindi.Ofisa Mipango wa Kampuni ya TBL Group kutoka Dar es...
View ArticleArticle 18
JK AFIWA NA DADA YAKE, WAZIRI MKUU MAJALIWA AMFARIJIWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete wakati alipokwenda kuwapa pole wanafamilia...
View Articlerais atoa chrimas kwa waze na yatima
Mlukulu wa Ikulu Zanzibar Ndg Ameir Ali Khatib akimkabidhi Mbuzi Sister Mary Gemma wa kituo cha Wazee Welezo, hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya Wazee hao Welezo Zanzibar, Vyakula hivyo vimetolewa...
View ArticleMalkia wa Kombe la Muungano Timu ya Uhamiaji Yaifunga JK
Mchezaji wa Timu ya JKU Rose Israel (WA) na Uhamiaji Sofia Komba (C) wakiwania mpira wakasti wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano iliofanyika katika uwanja wa Gmykhana Zanzibar Timu ya Uhamiaji...
View ArticleArticle 15
WARAGHABISHI WA KIJIJI CHA OLOLOSOKWANI WILAYA YA LOLIONDO WAPIGWA MSASA NA PALISEPMraghbishi Kootu Tome (wa pili kushoto) akiwa na mtendaji wa kijiji Rabie Lebuna (mwenye shati la njano) na...
View ArticleArticle 14
AKINA MAMA NA VIJANA NI NGUZO KUBWA YA KULETA MABADILIKO KATIKA VIJIJI. Bwana Bony Lukas akieleza jinsi anavyofanya uraghbishi hasa katika kuwasaidia vijana kujua haki zao na kujitambua.Na Fredy...
View ArticleArticle 13
ToBondia Vicent Mbilinyi akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Deo Njiku utakaofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro siku ya Desemba 25 Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.comMabondia...
View ArticleArticle 12
WANAFUNZI WAVUMBUA MIFUKO MBADALA YA PLASTIKI RAFIKI WA MAZINGIRA INAITWA ' ENVIROBAGS' Vijana Shilen Dawda (kushoto) na Alyanz Nasser wakiwaonesha mifuko hiyo wanahabari wakati wakiitambulisha rasmi...
View ArticleArticle 11
MSAADA TUTANI : AFYA NA MAAJABU YAKE Ponnar, kijana aliyefanyiwa upandikizaji wa Moyo na Ini kwa pamoja, katika hospitali ya Apollo akizungumza na waandishi wa habari baada ya upandikizaji huo.Ponnar,...
View ArticleArticle 10
DKT. SHEIN, MAALIM SEIF WASHIRIKI PAMOJA SHEREHE ZA MAULID YA MTUME MUHAMMAD S.A.W HUKO ZANZIBARRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo...
View ArticleArticle 9
TANZANIA YAANZA KUSHUGHULIKIA MGOGORO WA BURUNDI, JPM AMTUMA BALOZI MAHIGA AENDE BURUNDI NA UGANDA 23 Desemba, 2015TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA...
View ArticleArticle 8
LIGI KUU BARA IMEARUDI TENA Kagera SugarAzamMbeya CityYangaAfricans SportsSimbaUHONDO unarudi. Ndio ule uhondo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara unatarajiwa kuendelea tena wikiendi hii wakati viwanja sita...
View Articlekituo cha wazee wapata msaada
Mwenyekiti wa NGOs ya Go For Zanzibar Antje Fleischer na Meneja Mradi Mussa Khamis Baucha , wakimkabidhi msaada Mwakilishi wa Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar Mzee Kombo Shein, vyakula kwa ajili...
View ArticleKAMERA YA MZUKA NA MATUKIO YA CHRISMAX DAR
WAZIRI WA HABARI NA MICHEZO NAPE NNAUYE KATI AKIPIGA MAKOFI WAKATI WA TAMASHA LA MUZIKI WA INJILI NDIE MGENI RASMI KULIA NI MKE WA WAZIRI NA KUSHOTO NI MBUNGE WA VITI MAALUM MATHA MLATA MUIBAJI...
View ArticleArticle 5
RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA YA KRISMAS KWENYE KANISA LA ST.PETERS JIJINI DAR ES SALAAMRais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitoa salamu zake za heri ya Krismasi mara baada ya...
View ArticleArticle 4
RIDHIWANI KIKWETE AWATAKA WENYE USHAHIDI WA TUHUMA DHIDI YAKE WAJITOKEZE HADHARANI, ASEMA AMECHOSHWA KUZUSHITAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.Ndugu zangu waandishi wa habari, nimeamua kuwaita ili...
View ArticleArticle 3
MZEE NJEMBA ANATAFUTWA, AMETOWEKA NYUMBANI KWAKE MAGOMENINdugu na jamaa wanatarifiwa kwamba Bw. Hemed Mzee Ibrahim "Njemba" (pichani) ametoweka nyumbani kwake Magomeni Makuti mtaa wa Mchinga namba 22...
View Article