MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI AFRIKA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa...
View ArticleKAMERA YA MZUKA LEO MITAANI NA HALI YA KIPINDUPINDU
KAMERA YA MZUKA LEO MITAANI NA HALI YA KIPINDUPINDU Kibanda cha kizushi kilichopo bonde la msimbazi kandokando ya barabara ya kigogo kwenye minazi ya sukita pamajulikana kama maskani Mfanyabiashara wa...
View ArticleArticle 0
MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG AACHANA NA UKAPERA Bibi harusi Mary Michael Mbaya (kushoto), akimvisha pete ya ndoa mume wake Richard Mwaikenda ambaye ni mpiga picha mkuu wa gazeti la Jambo Leo...
View ArticleArticle 8
INTERSWITCH LAUNCHES IN TANZANIA CEO, Bernard MatthewmanINTERSWITCH, the leading integrated digital payments and commerce provider focused on Africa has today announced its entry into Tanzania and...
View ArticleArticle 7
ALBAMU YA NYIMBO ZA INJILI YA SOGEA NA BARAKA ZA BWANA ZAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR E S SALAAM NAAliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo na Makazi, Angela Kairuki (kushoto), akionesha DVD...
View ArticleMAKAMU WA RAIS ASHIRIKI KUFANYA USAFI WA 9 DESEMBA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki kufagia na baadhi ya wananchi wakazi wa eneo lake la Oysterbay Karume Raod, wakati wa zoezi la kufanya usafi wa...
View ArticleArticle 5
TAMASHA KUBWA LA MSAFARA LINALOWAHUSISHA VIJANA KUFANYIKA JUMAMOSI HII IFAKARA MOROGORO. Kutoka kushoto ni Manoah William Waziri wa Elimu Serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Agnes...
View ArticleArticle 4
MABONDIA ZUMBA KUKWE NA SELEMANI GALILE WATAMBIANA KUZIDUNDA JANUARY 2 MANZESEMMabondia Seleman Galile kushoto na Zumba Kukwe wakitunishiana misuli baada ya kusaini makubaliano ya kupigana january 2...
View ArticleGLOBAL PEACE FOUNDATION TANZANIA YASHIRIKI KUFANYA USAFI
.Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation Tanzania (GPFT), Martha Ng'ambi (wa pili kulia), akizungumza na Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii, Dk.Abu Mvungi (kushoto), Dar es Salaam leo...
View ArticleArticle 2
WAFANYAKAZI WA KITUO CHA MAFUTA CHA PUMA CHA UWANJA WA NDEGE JIJINI DAR ES SALAAM WATEKELEZA AGIZO LA RAIS KWA KUFANYA USAFI Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleArticle 1
Mbunge wa Chumbuni Akujumuina na Wananchi wa Jimbo lake Kuitikia Wito wa Rais Dk Johm Magufuli Hapa Kazi Tu Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe.Ussi Salum Pondeza AMJAD akishirikiana Wananchi wa...
View ArticleArticle 0
Wafanyakazi wa Zanlink Zanzibar Wajumuika katika Usafi Eneo lao la Kazi.Wafanyakazi wa Kampuni ya Zanlink Zanzibar wakiitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wakishiriki katika zoezi...
View ArticleMISS UNIVERSE TANZANIA
Habari Wadau,Tafadhali pokeeni picha na maelekezo tuliyoambatanisha hapo chini,kutoka Miss universe InternationalPlease find attached photos with caption1. Lorraina C. Marriot, Miss Universe Tanzania...
View ArticleRAIS JOHN POMBE MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI
jbb1: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia...
View ArticleBARAZA LA MAWAZIRI HILI HAPA
Na K-Vis Media/Khalfan SaidHATIMAYE kitendawili kimeteguliwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Desemba 10, 2015 ametangaza baraza la Mawaziri litakaloundwa na...
View ArticleTigo yadhamini uzinduzi wa Rock City Mall: Kufanya gulio la kuuza bidhaa
Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo(katikati),akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Mwanza jana,ambapo jengo la kimataifa la biashara(Rock City Mall) limekamilika...
View ArticleLigi Kuu ya Muungano ya Netiboli Kati ya Polisi Moro na TTPL
Wachezaji wa Timu ya TTPL na Polisi Moro wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano zinazofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar timu ya Polisi Moro imeshinda 36--33.Mchezaji wa...
View Article