Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

KAMERA YA MZUKA NA MATUKIO YA CHRISMAX DAR

$
0
0
WAZIRI WA HABARI NA MICHEZO  NAPE NNAUYE KATI AKIPIGA MAKOFI  WAKATI WA TAMASHA LA MUZIKI WA INJILI NDIE MGENI RASMI KULIA NI MKE WA WAZIRI NA KUSHOTO NI MBUNGE WA VITI MAALUM  MATHA MLATA 

MUIBAJI 

WAKICHEZA MUZIKI WA NJILI 

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA KENYA

WAKATI WA TAMASHA LA MUZIKI WA INJILI  LA MSAMA PROMOSHENI 



CHRISMAS FURAHIYA COCOBEACH

BIBI HUYU ANAEJULIKANA KWA JINA LA  FATUMA ABBAS NI MMOJA YA WAKAZI WA BONDE LA MSIMBAZI ENEO LA MKWAJUNI AMBAO NYUMBA ZAO ZIMEBOLEWA  KUPISHA KUEPUKA KWA MAAFA WAKATI MVUA ZINAZO KUJA  LAKINI BI FATUMA HAJUI AENDE WAPI HANA NDUGU  WENYE NYUMBA HABA DAR ILI APATE KUJIBANZA KAMA  BAADHI YA WAKAZI WENZAKE WALIVYOFANYA FATUMA NI MWENYEJI WA WILAYA YA RUFIJI KATIKA KIJIJI CHA BUNGU  MZUKA ILIMKUTA BI FATUMA AKIAN  DAA CHAKULA CHA MCHANA SEHEMU AMBAYO ANAYO JIBANZA  MWISHO ANASEMA TUMEANDIKISHWA ILI KUPEWA VIWANJA AWAMU YA PILI HUKOOOO MWABEPANDE  KAMA KUNA WASAMARIA  WAMPE HIFADHI  ANA WATOTO 2 MMOJA CHARLES NA PAULO WANASHINDWA HATA KWENDA SHULE KUTOKANA HAYA MAZINGIRA  WAKATI ITAKAPO FUNHULIWA  

HAYA NI MAZAGAZAGA YALIYOBAKI MKWAJUNI 

MAISHA NDIVYO YALIVYO HAPALA  ENEO MKWAJUNI WALIOBOMOLEWA HUKU VIJANA HUJIPATIA  KILICHOBAKI KWA WAKAZI HAO

HII NDO CHRISMAS TUPO COCOBEACH

VIJANA KWA WATOTO WAKIOGELEA  COCOBEACH

wakati huu wa kusherehekea kwa chrismax wakazi wa kutoka sehem mbalimbali katika jiji la Dar Es salaam  wanafika katika ufukwe huu wa Bhari ya Hindi kufurahisha nyoyo zao Katika eneo la COCOBEACH  PICHA ZOTE NA MTANDAO WA MZUKA  WA FUNGO


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles