Rais Dkt. John Pombe Magufuli, akipena mikono na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kanisa Katoliki, Muadhama Polycarp Kadinali Pengo, mara baada ya kutoa salam za Krismas
Rais akiwasili kanisani mapema leo asubuhi
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa (wakwanza kushoto),wakishiriki Ibada ya Krismas katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015
Kadinali Pengo akitoa hotuba
Rais akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya Kikristo mara baada ya ibada hiyo
Rais akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya Kikristo mara baada ya ibada hiyo
Rais akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya Kikristo mara baada ya ibada hiyo