JAMBO LEO WASHEREHEKEA MWAKA MPYA 2017
Wafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2017 kwenye Ukumbi wa Ground Zero, Kurasini Dar...
View ArticleWAZIRI MKUU AAGIZA MAAFISA WANNE WAKAMATWE WA KOROSHO
WAZIRI MKUU AAGIZA MAAFISA WANNE WAKAMATWE *Ni kwa tuhuma za uzembe na upotevu korosho zaidi ya tani 2,000* Wapelekwa Masasi chini ya ulinzi wakajibu tuhuma zinazowakabiliWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa...
View ArticleMiji Sita ya Zanzibar Kufanyiwa Mipango ya Matumizi ya Ardhi Ifikapo 2020
Miji Sita ya Zanzibar Kufanyiwa Mipango ya Matumizi ya Ardhi Ifikapo 2020Na. Lilian Lundo – MAELEZO.03/01/2017SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inatarajia kukamilisha upangwaji wa matumizi ya ardhi...
View ArticleArticle 2
Watanzania Tumuunge Mkono Rais Magufuli Kujenga Uchumi Wa ViwandaNa. Lilian Lundo - MAELEZOKatika hotuba yake ya kwanza Mhe. Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akifungua Rasmi...
View ArticleArticle 1
Shamra shamra za Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo Kisiwani Pemba Kuadhimisha Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar. WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Mohamed Aboud Mohamed,...
View ArticleArticle 0
MVUA YAWAATHIRI WANANCHI WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYAMkazi wa Kijiji cha Ndubi kilichopo wilayani Rungwe mkoani Mbeya, Julius Mwambola (kulia), akionyesha migomba iliyoangushwa kutokana na mvua...
View ArticleArticle 4
RAIS DKT. MAGUFULI AWASALIMIA WAKAZI WA CHATO MJINI, PIA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI ALIYOSOMA CHATORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika benchi la kibanda cha...
View ArticleArticle 3
CHINA KUWEKEZA VIWANDA NCHINI, NI KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI HIYO WANG YI NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAIDCHINA imesema, itajenga viwanda kuunga mkono mkakati wa serikali ya awamu ya tano chini...
View ArticleSERIKALI YA CHINA YAIMWAGIA SIFA TANZANIA KATIKA MIRADI YA UJENZI
Na Ismail NgayongaMAELEZOZanzibar10.01.2017SERIKALI ya China imeisifu Tanzania kwa kuzingatia sera ya uwazi katika ushindanishaji wa zabuni za miradi ya ujenzi, ikilinganishwa na nchi nyingine zilizopo...
View ArticleNEC YAONYA WANAOKIUKA MAADILI
NEC YAONYA WANAOKIUKA MAADILINA BEATRICE LYIMO-MAELEZO10/01/2017Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevionya vyama vya siasa na wagombea wanaoshiriki katika uchaguzi mdogo wa mbunge na madiwani kuheshimu...
View ArticleRBA YAANDAA MASHINDANO MPIRA WA KIKAPU.
RBA YAANDAA MASHINDANO MPIRA WA KIKAPU.NA BEATRICE LYIMO-MAELEZO10/01/2017Chama cha mpira wa Kikapu Dar es salaam (RBA) kimeanzaa mashindano ya ligi ya mpira huo yatakayoshirikisha timu 16 kutoka kwa...
View ArticleArticle 1
MEJA JENERALI. MILANZI: ACHENI KUINGIZA MIFUGO KATIKA HIFADHI ZA TAIFA. Rais Msataafu wa Awamu ya Tatu wa Tanzania, Benjamin William Mkapa akizungumza mara baada ya kupokea Matembezi kwa ajili ya...
View ArticleAZAM BINGWA WA KOMBE LA MAPINDUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akimkabidhi kombe la Mapinduzi nahodha wa Timy ya Azam John Bocco 'Adebayor' baada ya kuwafunga timu ya Simba goli 1-0 katika...
View ArticleArticle 9
Tanzania kuanza kutumia mfumo wa Dirisha Moja la Huduma (Electronic Single Window System)1 Tanzania kuanza kutumia mfumo wa Dirisha Moja la Huduma (Electronic Single Window System) Kaimu Kamishna Mkuu...
View ArticleArticle 8
MSIMU WA 15 WA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA MBIO ZA KILIMANJARO PREMIUM LAGER MARATHON 2017 WAZINDULIWA RASMI MKOANI KILIMANJARO.Mkuu wa wilaya ya Moshi,Kippi Warioba akizungumza wakati wa uzinduzi wa...
View ArticleArticle 7
TACAIDS YAJIPANGA KUHAKIKISHA MAAMBUKIZI MAPYA YA UKIMWI KUBAKI HISTORIA IFIKAPO 2030 Mkurugenzi wa Uraghabishi na Habari – TACAIDS Jumanne Issango akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala ya...
View ArticleNAPE AVITEMBELEA VYOMBO VYA IPP NA SAHARA MEDIA
Na Raymond Mushumbusi WHUSMSerikali imeahidi kuendelea kushirikiana na vyombo vya habari nchini katika kutoa habari kwa ajili ya kuhabarisha umma kuhusiana na mambo mbalimbali yahusuyo Serikali katika...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YA UWEKEZAJI WA MITAJI YA UMMA (PIC) YAKAGUA MIRADI YA NHC YA...
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Mhe. Albert Obama (Mb) akizungumza wakati Kamati yake ilipokwenda kukagua mradi wa Ujenzi wa Nyumba katika eneo la Kawe na Morroco...
View ArticleNAPE NNAUYE KUKUTANA WA WASANII WA FILAM
Kesho tarehe 19/01/2017 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nnape Nnauye atakutana na wadau mbalimbali wa sekta ya filamu. Mkutano wa Mheshimiwa Nnape na wadau hao utafanyika kwenye ukumbi wa...
View ArticleANGLE RWEKAZAURA WA ARUSHA AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA MAXIMILLIAN
. MAANDALIZI YA NDOA: Bi,Angle Rwezaura wa Arusha akivishwa pente ya uchumba na Maximililan Muya pia wa Arusha wakati wa hafla iliyofanyika nyumbani kwa mjomba wake Tito Kasere kunduchi Beach jijini...
View Article