. MAANDALIZI YA NDOA: Bi,Angle Rwezaurawa Arusha akivishwa pente ya uchumba na Maximililan Muyapia wa Arusha wakati wa hafla iliyofanyika nyumbani kwa mjomba wake Tito Kasere kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, wachumba hao wanategemea kufunga ndo yao Takatifu hivi karibuni mkoani Arusha.