Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Browsing all 1239 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

MAGUFULI AWATAKA WAKUU WA WILAYA NA MIKOA KUONDOA UTITIRI WA KODI KATIKA MAZAO.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jenerali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ADHA YA BARABARANI FOLENI BARABARA YA MANDELA

 BARABARA YA MANDELA ENEO BUGURUNIBARABARA  YA MANDELA NA UHURU BUGURUNI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU UFUKWENU KWA VYUO VIKUU JUMAMOSI HII COCOBEACH

Kkocha wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu ufukweni  John Mwansasu  akizungumza na wandishi wa habari kuhusu mashindano ya ufukweni yatakayo shirikishwa vyuo vikuu vya Vilivyopo Mkoani Dar es asalaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

chezo wa Kombe la Mapinduzi Kati ya Yanga na Jamuhuri Unafanyika Usiki Huu Timu ya Yanga Imeshinda 6--0 Wachezaji wa Timu ya Yanga Afrika wanaoshiriki Kombe la Mapinduzi Cup wakiwa katika uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

PSPF YAWAPIGA MSASA WATUMISHI OFISI YA RAS DAR ES SALAAMMkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, (kulia), akipeana mikono na Katibu Tawala Msaidizi (anayeshughulikia masuala ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

Rais Dkt MAGUFULI awasalimia Wakazi wa Bukoba Mjini, Muleba na Muganza, GEITA. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Bukoba mjini mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YAIRARUA KVZ BAO 1 -0 KOMBE LA MAPINDUZI

Benchi la Timu ya Simba likifuatilia mchezo wao wa Pili wa Kombe la Mapinduzi Cup ikicheza na Timu ya KVZ, mchezo uliofanyika katika uwanja wa Amaan. Timu ya Simba imeshinda bao moja bila, ikiongoza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

CHAWABATA CHAPINGA MANISPAA YA ILALA KUKAGUA LESENI ZA WAUZA VILEO USIKU JIJINI DAR ES SALAAM Mwenyekiti wa Chama cha Wahudumu wa Baa Tanzania (Chawabata), Ali Hussein (kulia), akizungumza na waandishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

WAZIRI MKUU AAGIZA UMEME WA UHAKIKA KISARAWE II WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuhakikisha eneo la Kisarawe II linakuwa na umeme wa uhakika...

View Article


2017 UWE MWAKA WA KULIPA KODI KWA HIARI.

017 UWE MWAKA WA KULIPA KODI KWA HIARI.Na Beatrice Lyimo- MAELEZO4. January, 2017MOJA ya malengo makuu ya Serikali ya Awamu ya Tano ni kuongeza nguvu katika ukusanyaji wa mapato nchini kwa lengo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI RUVUMA KWAZIARA YA KIKAZI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mkuu wa mkoa wa ruvuma Mhandisi Binilis Mahenge mara alipowasili katika uwanja wa ndege...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

MBUNGE JUMAA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KITUO CHA AFYA MLANDIZI NA KUVUMBUA MADUDU MBUNGE wa Kibaha Vijijini Hamoud Jumaa ,mwenye kofia aina ya pama akionekana pichani akisaidiana na ndugu wa mgonjwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATAKAO SHINDWA KUWACHUKULIA HATUA KUZUIA UVUVI...

MAONI/HOJA/MTIZAMOUJENZI WA UCHUMI WA VIWANDA KUPITIA SEKTA YA UVUVI INAWEZEKANA.Na Ismail NgayongaMAELEZODAR ES SALAAM07.01.2016KATIKA kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, Serikali imekusudia...

View Article


SERIKALI IMEWAAGIZA WAKURUGENZI NCHINI

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO07/10/2017Na Beatrice Lyimo-MAELEZO07/10/2017Serikali imewaagiza wakurugenzi nchini hasa kwenye maeneo wanayojishughulisha na uvuvi kuwachukulia hatua maafisa uvuvi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM YAIPIGA YANGA BILA HURUMA BAO 4-0KOMBE LA MAPINDUZI

MAPARA WA ZANZINEWS).

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 10

Mnajimu HASSAN YAHAYA HUSSEIN atabiri Vifo Kwa Viongozi wa Dini, Siasa na WanahabariMaalim Hassan Yahya Hussein akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo , kuhusu utabiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 9

Zimbabwe kakosekana Ngoma na Kamusoko tu! Bruce KangwaKikosi cha Zimbabwe 'Thje Might WarriorsHARARE, ZimbabweKWA mashabiki wa klabu za Simba na Yanga, Donald Ngoma, Thabani Kamusoko na Methodi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 8

UFUNGUZI WA SKULI YA SEKONDARI YA MOHAMED JUMA PINDUZI MKANYAGENI PEMBA RAIS wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein  amesema kuwa Mapinduzi Matukufu ya Januari 12, 1964...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA NA JANGOME WAKIPASHA MISULI KABLA MCHEZO LEO HII

Kocha Mkuu wa Timu ya Jangombe Boys Mohammed Seif  King akiingia Uwanja wakati Timu ya ke ikiwa uwanjani kujiandaa na kumenyana na Timu ya Simba kuwania nafasi muhuni kuingia Nusu Fainali ya Kombe la...

View Article

MUZIKI WA TANZANIA

Januari 2013, niliandika makala kuhusu nilivyouona muziki mwaka 2012. Naona nirudie makala ile kama nilivyoiandika, na kukuachia msomaji kulinganisha na hali ilivyokuwa 2016. Mwaka 2012 ndio huoo...

View Article
Browsing all 1239 articles
Browse latest View live