Kocha Mkuu wa Timu ya Jangombe Boys Mohammed Seif King akiingia Uwanja wakati Timu ya ke ikiwa uwanjani kujiandaa na kumenyana na Timu ya Simba kuwania nafasi muhuni kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi CUP. Ikiwa na Point 6 na Simba ikiwa na Pinti 7.