NAIBU WAZIRI POSI AZINDUA TAMASHA LA TANO LA WATU WENYE ULEMAVU JIJIN
Naibu Waziri (OWM) anayeshughulikia sera, Bunge, Kazi Ajira, Vijana na watu wenye Ulemavu, Dk. Abadallah Posi, akizungumza wakati akizindua tamasha la tano ya watu wenye ulemavu nchini, lililoanza leo...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA MRADI WA UBORESHAJI HUDUMA ZA UMEME JIJINI LEO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, (katikati) na viongozi wengine kutoka kushoto, Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO, Dkt. Alexander Kyaruzi, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Juliana...
View ArticleSSRA ILIPOSHIRIKI MAONESHO NA KONGAMANO LA HUDUMA ZA KIFEDHA KATIKA
Mgeni rasmi katika maonesho ya huduma za kifedha Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Faustine Kamuzora akipata maelezo kuhusu shughuli za Mamlaka kutoka kwa Afisa wa SSRA,...
View ArticleWATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUCHANGAMKIA NYUMBA ZA BEI NAFUU ZINA
WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUCHANGAMKIA NYUMBA ZA BEI NAFUU ZINAZOJENGWA NA SERIKALI Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa Umma (WHC) Fredy Msemwa (katikati), akitoa...
View ArticleJK AWATUNUKU DIGRII WAHITIMU 1,179 CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm), Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (Duce),...
View ArticleMKUTANO WA UWEKEZAJI TANZANIA 2016 WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Migodi ya Acacia, Brad Gordon akizungumza kuhusu uwekezaji wa kampuni yake hiyo, nchini pamoja na uzalishaji pia utekelezaji wa miradi ya kijamii kwenye maeneo ya...
View ArticleTAMASHA LA TANO LA SIKU MBILI LA WATU WENYE ULEMAVU LAFUNGWA LEO JIJINI DAR
Afisa Mradi, Kitengo cha Kujenga Uwezo kutoka shirika lisilo la Kiserikali la ‘The Foundation For Civil Society’ Nasim Losai, akitoa mada wakati wa ufungaji wa Tamasha la Tano la Watu wenye Ulemavu...
View ArticleTRA YAONGEZA MUDA WA KUBORESHA TAARIFA ZA WALIPAKODI HADI JANUARI 2017
iMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwashukuru wakazi wa Dar es Salaam kwa kushiriki katika zoezi la kuhakiki Namba ya Utambulisho Mlipakodi (TIN).Kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi...
View ArticleMAKALA YA HIFADHI YA TAIFA YA KATAVI
Mmoja wa Simba akiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi Baadhi ya Mamba wakiwa wamepumzika katika hifadhi ya Taifa ya KataviHawa ni Punda milia wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya KataviKama kibao kinavyo...
View ArticleArticle 9
JUMIA TRAVEL YATOA TUZO KWA HOTELI ZINAZOFANYA VIZURI NCHINI TANZANIA Meneja Mkaazi wa Kampuni ya Jumia Travel Tanzania, Fatema Dharsee (kushoto), akielezea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni...
View ArticleArticle 8
WAZIRI SIMBACHAWENE AFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI NA MAADILI YA VIJANA WAZALENDO 47 KIVUKONI JIJINI DAR ES ESALAAM Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi) George Simbachawene, akisalimiana na Katibu Mkuu...
View ArticleArticle 7
MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AFUNGA MAFUNZO YA MGAMBO KUNDI LA 54/16..Baadhi ya Viongozi wenye Kampuni za UlinziMkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva (wa pili kulia) akipokea risala kutoka kwa mmoja wa...
View ArticleKLABU YA ROTARY YA OYSTER BAY YASHIRIKIANA NA WADAU KUTOA UFADHILI W
Wanafunzi 20 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini wamepata ufadhili wa elimu unaofikia jumla ya Tshs Milioni 70 kutoka Klabu ya Rotary ya Oyster Bay, fedha zilizokusanywa kutokana na michango ya...
View ArticleBenki ya AMANA yazindua Huduma ya Mikopo midogo midogo
Diwani wa Kata ya kibonde Maji mbagala Jijini Dar es salaam Mh Abdala Mtimika (Kushoto) Pamoja na Mkurugenzi wa Bank ya Amana nchini Dr Mosen Masoud wakikata utepe Kuashiria kuzinduliwa Rasmi kwa...
View ArticleSERIKALI YABARIKI UZINDUZI WA TELEVISHENI YA KIDIGITALI KUTOKA STARTIMES.
Na Mwandishi WetuSerikali kupitia Wizara ya Ujezi Uchukuzi na Mawasilano imebariki uzinduzi wa televisheni mpya ya kidigitali kutoka kampuni ya Startimes Tanzania.Akizungumza katika uzinduzi huo kwa...
View ArticleWAZIRI WA UTAMADUNI NA SANAA WA AFRIKA YA KUSINI ATEMBELEA KITUO CHA...
Kaimu Mkurugenzi kituo cha Maendeleo Dakawa Bw. Elasto Nywage(kulia) akitoa maelezo ya kituo hicho kwa Waziri wa Utamaduni na Sanaa wa Afrika ya Kusini Mhe. Nathi Mthethwa wakati Waziri huyo na ujumbe...
View ArticleWAZIRI WA HABARI UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO AZINDUA MAGARI MAPYA YA F12 PLUS...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikta utepe kuashiria uzinduzi wa magari mapya ya F12 kutoka kampuni yas Yutong katika hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt...
View ArticleArticle 1
NDEREMO,VIFIJO VYATAWALA MAHAFALI YA CHUO KIKUU CHA TUMAINI DAR Wanafunzi waliohitimu na kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi wa Biashara wakishangilia wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha...
View ArticleArticle 0
WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA ZIFF AZINDUA TAMASHA LA UONESHAJI FILAMU BURE MKOANI GEITA.Waziri wa Afya katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tamasha la...
View Article