TANESCO KIGOMA YADAIWA MILLIONI 41 NA TEMESA
Na Theresia Mwami TEMESA Kigoma Shirika la umeme Tanzania TANESCO linadaiwa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Kigoma kiasi cha shilingi milioni 41 ikiwa ni malimbikizo ya madeni kutokana na...
View ArticleArticle 2
MNH YATOA TAARIFA KUZUIWA KWA MWANAMKE KUTOKA HOSPITALINIMzazi Sakina LemboTAARIFA KUHUSU MZAZI KUZUILIWA KUONDOKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILIKuna taarifa zimezagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa...
View ArticleArticle 1
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AACHA MAGARI YAKE NA KUTEMBEA KWA MIGUU KUELEKEA OFISINI KWAKE MJINI DODOMAWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao alichokiitisha kati yake na Watendaji Wakuu...
View ArticleSIKU YA PILI YA MAFUNZO YA BIASHARA KWA VIJANA, FU
Mkufunzi Linus Gedi, akiendesha mafunzo ya Biashara kwa Vijana kuhusu, Fursa za Vijana na Taratibu, Sheria za kufanya Biashara ndani ya Soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki, yanayoendelea kwa siku ya...
View ArticleVIJANA WAJASILIAMALI WACHANGAMKIA FURSA KUTENGENEZA S
Vijana wajasiliamali wakiwa katika mafunzo ya kutengeneza urembo wa Shanga baada ya kupata somo kutoka kwa Mkufunzi Peninnah katika mafunzo hayo Biashara kwa Vijana kuelekea Soko la AFrika Mashariki...
View ArticleKLABU YA ROTARY YA OYSTER BAY YAANDAA HUDUMA ZA MATI
Klabu ya Rotary ya Oyster Bay imeandaa kambi ya matibabu ya bure itakayofanyika eneo la Kerege wilayani Bagamoyo. Huduma hizo za matibabu zitatolewa siku ya Jumapili tarehe 27 Novemba katika shule ya...
View Articlemashindano ya kuandika lishe
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akizungumza na waandishi wa habari wadau wa harakati za upatikanaji wa lishe bora nchini na wahariri wa vyombo vya habari...
View ArticleArticle 5
WANAWAKE WAJASIRIAMALI MASOKONI WAMETAKIWA KUWA NA MSHIKAMANO Mwakilishi Mkazi wa Taasisi ya Sura Mpya na Sauti Mpya Tanzania (NFNV), Emma Kawawa (kulia), akizungumza na wanawake wafanyabiashara katika...
View ArticleArticle 4
RAIS MAGUFULI AMUONDOA MSAJILI WA HAZINA LAWRENCE MAFURU, AMTEUA CHRISTOPHER OLE SENDEKA MKUU WA MKOA WA NJOMBE Bw. Lawrence Mafuru, aliyekuwa Msajili wa Hazina ambaye jioni hii, Rais John Pombe...
View ArticleArticle 3
MAHAFALI YA 14 CHUO KIKUU TUNGUU, ZANZIBAR YAFANYIKAWahitimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za Mahfali ya 14 yaliyofanyika leo Desemba...
View ArticleArticle 2
Na Raymond Mushumbusi -WHUSMWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye amewataka watendaji na watumishi wa Wizara yake kuzingatia maadili na uwajibikaji katika utekelezaji wa...
View ArticleSORRY TUMIA HII;TAASISI YA AFRICAN RELIEF YAANZISHA KILIMO CHA UMWAGILIAJI CH
Mkurugenzi wa Taasisi ya African Relief Organization, Samy Mohammed Elazeb (kulia) akisimamia trekta likilima shamba lenye ukubwa wa ekali 2500 eneo la Khanga, katika Kijiji cha Chumbi C, wilayani...
View ArticleWAZIRI NAPE AJIUNGA NA PSPF, AWASIFU KWA HUDUMA ZA "MWENDO KASI
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Nape Moses Nnauye, (wapili kushoto), akipokea fomu ya kujiunga na uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo,...
View ArticleArticle 12
PEMBE ZA FARU JOHN ZAWASILISHWA KWA WAZIRI MKUU MAJALIWAWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa pembe za faru John na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangili wa...
View ArticleNAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA
Ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano nas Mazingira Mhe Luhaga Mpina Zanzibar. (2) . Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akimsikiliza Mratibu wa...
View ArticleArticle 10
RAIS MAGUFULI AMUAPISHA OLE SENDEKA NA WENGINE WALIOTEULIWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Christopher Olonyokie Ole -Sendeka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe...
View ArticleArticle 9
KINYIMWA UNYUMBA NDANI YA NDOA NENDA KASHITAKI DAWATI LA JINSIA POLISI Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva (katikati), ambaye alikuwa mgeni rasmi akihutubia wakati akizindua maonyesho ya dawati...
View ArticleArticle 7
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIInboxSIKU YA JUMANNE YA TAREHE 13 DESEMBA, 2016 KATIBU MKUU KIONGOZI ATAKUWA NA LUNCH MEETING NA WAFADHILI 20 (DONOR COUNTRIES) ILI KUWAELEZA FURSA ZA KUWEKEZA KATIKA...
View Article