Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikta utepe kuashiria uzinduzi wa magari mapya ya F12 kutoka kampuni yas Yutong katika hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza wakati wa uzinduzi wa magari mapya ya F12 kutoka kampuni yas Yutong katika hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.
Picha na kitengo cha Mawasiliano Serikali WHUSM