KAMERA YA MZUKA LEO MITAANI NA HALI YA KIPINDUPINDU
![]() |
Kibanda cha kizushi kilichopo bonde la msimbazi kandokando ya barabara ya kigogo kwenye minazi ya sukita pamajulikana kama maskani |
![]() |
Mfanyabiashara wa ndizi katika soko la Buguruni akisubiri wateja |
![]() |
Hali halisi ya makazi ya wananchi wa Uswazi kiwalani BomBom |
![]() |
Mtaro uliopo kwenye soko la Tandika |
![]() |
Mtaro wa Soko la Tandika bado ni hatari kwa maisha ya wafanyabiashara na akimama ntilia wapo hapo |
![]() |
Soko la Tandika |
![]() |
Hapa kazi mwana bila hivi utahama mji na kupiga chabo |
![]() |
Mama akiwa na mtoto wake katika soko la Temeke atazoea tuu mazingira lakini jee Afya yake itakuaje hali ya uchafu |
![]() |
Wafanyabiashara katika soko la Temeke Stereo wakiwa kazini |
![]() |
Hali ya soko la la Temeke Stereo lilivyoshona |
![]() |
Soko la Temeke Stereo hali kama hii huku watu wakiokota matunda yaliyotupwa |
![]() |
Takataka katika soko la Temeke stereo uchafu uliokithiri picha inawaonyesha watu hao ambao wanaokota matunda yaliyotupwa jee kipindupindu hakiwezi kumalizika |
![]() |
katika maeneo kadhaa katika jiji la Dar es salaam hususani uswahili ni magonjwa ya kipindupindu na magonjwa ya tumbo na kuhara |
![]() |
Mifereji iliyojengwa ni midogo haiwezi kukizi hali ya mvua kubwa picha hii ni makaazi ya eneo la Buguruni kwa mkanda |
![]() |
Hivi ndio hali halisi ya Uswazi katika kufanya usafi wa mazingira siku ya Desemba tisa tukumbuke lazima tuzingatie kutokomeza kipindupindu tuingie uswasi na madawa eneo la Buguruni mnyama |
Hivi ndivyo hali ilivyo ukiona aibu huli hapa kazi tuu kama alivyonaswa na kamera ya mzuka mfanyabiashara wa mbogamboga katika eneo la buguruni mnyamani kandokando ya reli akiwa anatwanga kisamvu kwenye kinu leo