Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Browsing all 1239 articles
Browse latest View live

WADAU WA HABARI

Na Ismail NgayongaMAELEZODar es Salaam28.10.2016KATIKA kipindi cha miaka 20 wadau wa tasnia ya habari hapa nchini wamekuwa katika vuguvugu la kudai mabadiliko ya mfumo wa sheria iliyopo sasa hasa ile...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARINdugu wanahabari,Kwa muda sasa kumekuwepo na usambazaji wa taarifa za upotoshaji zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa wakishirikiana na baadhi ya vyombo vya habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Akabidhi Msaada wa Vyakula na Matunda

Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Mhe Juma Ali Khatib akikabidhi msaada wa Matunda na Vyakula kwa Hospitali ya Mental Kidongochekundu Zanzibar akipokea msaada huo Daktari Mkuu wa Hospitali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

WALIPEWA WIKI MOJA KUTOA MAONI, BADO WANADAI MUDA ZAIDI.MWENYEKITI KAMATI ASEMA KWA MIAKA MINGI WAMEKUWA WAKIKWAMISHA MUSWAADA HUO.Na Mwandishi Wetu DodomaWadau wa habari nchini wameendelea kukacha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

RAIS MUSEVENI WA UGANDA AANZISHA OPERESHENI VUMBUA UTAJIRI, APIGA HODI NYUMBA KWA NYUMBA KUTOA ELIMU YA UJASIRIAMALI KUPITIA KILIMO Rais wa Uganda, Yoweri Museveni (mwenye mpama), "akikata kiu" kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA NAIROBI SOUTHERN BYPASS KATIKA ENEO LA KAREN NCHINI KENYA, ATEMBELEA KIWANDA CHA MAZIWARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

RAIS PAUL KAGAME AENDESHA GARI KUMSINDIKIZA MFALME WA MOROCCO KWENDA UWANJA WA NDEGE. Rais wa Rwanda Paul Kagame ameendesha gari kumpeleka mfalme wa Morroco Mohammed VI katika uwanja wa ndege baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WAJADILIANA JINSI SEKTA BINAFSI INAVYOWEZA KUSHIRIKI

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii, (ESRF), Dkt. Tausi Mbaga Kida, (kulia), akizungumza kwenye Warsha ya majadiliano ya wadau kuhusu nafasi ya sekta binafsi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

WAJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI TFF WAMPONGEZA RAIS MALINZI Wadau mbalimbali wakiwamo Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, wamemwagia sifa na pongezi Rais wa TFF Jamal...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO MKUBWA WATEKETEZA MAKONTENA 3 BANDARINI LEO KATIKA ZOEZI MAALUM LA...

 makontena 3 yanawaka moto  makontena yawaka moto leo hivi ndivyo moto uliokuwa unawaka leo magari ya kuzima moto yakiwa yaliyojaa maji mmoja ya majeruhi akipelekwa kusaidiwa kupata matibabu ya huduma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

  BUNGENI LEO, 2016Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa  Kawe, Halima Mdee kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma  Novemba 1, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU) Waziri Mkuu, Kassim...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUU NA KONGAMANO LA WAPIMAJI ARDHI LA LAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akifungua mkutano mkuu na Kongamano la Wapimaji Ardhi linalofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia leo Novemva 2-3, 2016. Waziri Ardhi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA BUNGENI

 Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Najma Giga akiongoza mkutano wa tano wa Bunge la 11 unaoendelea Mjini Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na  watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEMESA LINDI

Na Theresia Mwami TEMESA LindiMtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania – TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu amepongeza utaratibu unaotumika katika kituo cha TEMESA Lindi na karakana zake kwa kuratibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

MWILI WA BONDIA THOMAS MASHALI AZIKWA LEO MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DNdugu Jamaa na Marafiki wakipokea Sanduku lenye mwili wa Marehemu,Bondia Thomas Mashali ukiwasili katika viwanja vya Leaders...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

RAIS MAGUFULI  AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI LEO IKULURais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Msanii Mrisho Mpoto akiimbwa wimbo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAKALE DHAHABU TAMASHA LA UTAMADUNI LITAKALO KUTANISHA MAKABILA

Mtaribu wa tamasha la 'Kale ni Dhahabu' ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Seree, Sabina ​Kaphipa akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana na tamasha la utamaduni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

NYUKI WAZUA KIZAA ZAA KATIKA MCHEZO WA RUVU SHOOTING NA AFRICAN LYON  Wachezaji wa timu za Ruvu Shooting wenye jezi rangi ya bluu na wa African Lyon wakiwa wamelala chini ikiwa ni kujihami na makundi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO MHANDISI FELCHES

 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini, (TANESCO), Mhandisi Felchesmi Mramba, (katikati), akizungumza wakati alipotembelea kituo kipya cha kupooza na kusambaza umeme cha City Centre jijini...

View Article

Article 2

Afrika nyuma ya Mahrez Mchezaji Bora Fifa 2016LONDON, EnglandLICHA ya Riyad Mahrez kuingia katika kinyang'anyiro cha Mchezaji Bora wa Fifa pamoja na wakali kama Sergio Aguero, Gareth Bale, Cristiano...

View Article
Browsing all 1239 articles
Browse latest View live