Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Browsing all 1239 articles
Browse latest View live

Article 2

YANGA  imeshinda bao 6-2 dhidi ya kagera suger katika mchezi=o wa ligi kuu uliofanyika leo mjini bukoba

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KAIRUKI AMALIZA ZIARA YA SIKU 2

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, akipokewa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva, alipowasili Ofisi za mkuu huyo jana kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANDISHI WAPEWA MSASA

 Ofisa Mradi wa Mpango wa Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele, Oscar Kaitaba akielezea umuhimu wa vyombo vya habari kuelimisha umma kujenga tabia ya  kutumia Kingatiba ya magonjwa ya kichocho,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

TANZIANi baada ya muda mrefu mpendwa wetu, Fatuma  Salum kuwa katika safari huko Mozambiki katika kutafuta maisha, ametutoka Duniani akiwa katika maandalizi ya kurudi nyumbani kwao kuiona familia yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPENI YA KUPIGA VITA NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI YA BINTI WA KITAA YAFANYIKA...

Bibi Pili Abdallah akielezea kwa kina maisha ya Mabinti wadogo yanayowapelekea kupata Mimba za utotoni na kuolewa wakiwa wadogo, pia alizungumzia Tamaa na Matamanio yalivyo na nguvu ya kuwafanya watoto...

View Article


KAMATI YA BUNGE YAENDELEA KUUJADILI MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI...

 KAMATI YA BUNGE YAENDELEA KUUJADILI MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI OKTOBA 20,2016 C

View Article

Article 0

Na Mwandishi Wetu Dodoma.Mapema Septemba 2016 kwa mara ya kwanza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye aliwasilisha kwa mara ya kwanza Bungeni  Muswada wa Sheria ya Huduma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAGUZI WA UMEYA MANISPAA YA KINONDONI ULIVYOKUWA NA BASHASHA LEO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

waziri mkuu akiaga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa Msaidizi wa Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Marehemu Margareth Lwekama katika ibada ya kumuombea marehemu iyoyofanyia kwenye Kanisa la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA CHAZINDUA MAFUNZO MAALUMU YA UKUSANYAJI TAKWIMU RASMI.Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) Prof. Innocent Ngalinda akizungumza na washiriki wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ITALIA NCHINIMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Italia nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 71 YA UMOJA WA MATAIFA

 wafanyakazi wa ubalozi watu kutoka un ,ilo  wanahabari mwakilishi wa un wanafunzi  wasiona mabalozi baadhi ya mabalozi wakiwa katika uzinduzi wa miaka 71 un baadhi ya mabalozi wakiwa katika uzinduzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KICHWA KIKUBWA NA MGONGO WAZI MO

Codes Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Moi akifungua rasmi sherehe za kuadhimisha siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na Mgongo wazi Duniani,ambapo alisema wanakazi kubwa ya kutoa matibabu kwa watoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WANNE KUTOKA NCHI...

WaziriwaMamboyaNdaniyaNchi,MwiguluNchembaakimsikilizaBaloziwaIndiahapanchini,SandeepArya(kulia)wakatiBalozihuyoalipomtembeleaWazirihuyoofisinikwake,jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kujadili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMANDA WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM AKIONGEA NA WAANDISHI

Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam kamishna Simon Siro  akiwaeleza wandishi wa habari leo ofisini kwake akitoa mambo mbalimbali  kuhusu jeshi la polisi jinsi lilivyofanikiwa kukamata  maswala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 7

BALOZI SIMBA AITAKA KAMATI YA KUPAMBANA NA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU KUWEKA MIKAKATI YA KUDHIBITI WAHALIFU WA BIASHARA HIYO HATARI Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Kupambana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 6

UJERUMANI YAPIGA JEKI TAMASHA LA SAUTI ZA BUARA ZANZIBARMwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said, (Kushoto), akibadilishana mkataba na Balozi wa Ujerumani Nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

ILIVYOKUWA KWENYE USIKU WA MSHIKE MSHIKE NA KHADIJA OMAR KOPA JIJINI MWANZA. Malikia wa Taarabu Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omar Kopa, akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Mwanza usiku wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT MGWATU AWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA KARAKANA ZA TEMESA.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu (kulia) akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Karakana ya Magari chuo cha Ufundi Arusha, Bw. Joseph Kotini wakati alipotembelea chuo...

View Article

Article 3

MSEMAJI WA SERIKALI: MFUKO WA MAFUNZO KUWANUFAISHA WANAHABARI NCHINI.Na Jovina BujuluMAELEZODar es Salaam27.10.2016WANATASNIA ya habari nchini wametakiwa kuunga mkono uanzishwaji  sheria ya huduma za...

View Article
Browsing all 1239 articles
Browse latest View live