Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

MOTO MKUBWA WATEKETEZA MAKONTENA 3 BANDARINI LEO KATIKA ZOEZI MAALUM LA KUTENGENEZWA

$
0
0
 makontena 3 yanawaka moto

 makontena yawaka moto leo
 hivi ndivyo moto uliokuwa unawaka leo
 magari ya kuzima moto yakiwa yaliyojaa maji


 mmoja ya majeruhi akipelekwa kusaidiwa kupata matibabu ya huduma ya kwanza
 wafanyakazi wa  wa uzimaji wakiwa kazini







 baadhi ya majeruhi waliowaliokuwa katika eneo la moto huo wakiwasubiri huduma ya kwanza






 Afisa mawasiliano mkuu wa Bandari Peter Milanzi akiongea na wandishi wa habari waliofika katika eneo hilo kuhusu moto huo ulivyotokea  Amesema moto huo ulikuwa umengenezwa kwa maksudi ili kupima uwezo wa vifa na wafanyakazi wa jeshi la kuzima moto wanavyo weza kukabiliana tatizo la ajali ya moto
Amewambiwa wandishi wa habari makontena hayo yaliwekwa matairi na kuyachoma na huku na hii kama nilivyo sema moto huu ni wa kutengenezwa  msiwe na hofu ingawa huko mitaani wamesha sikia kama moto mkuwa umeteketeza makontena hili ni zoezi maalum imeandaliwa na  MZUKA WA FUNGO BLOG




Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles