KAMPENI YA BINTI WA KITAA YAFIKA WILAYA YA TEMEKE JIJI
Afisa Mtendaji wa Wilaya ya Tandika Hija Kipeleka akizindua Rasmi kampeni ya Binti wa kitaa katika Wilaya ya Temeke, ambapo aliwashukuru wanaoendesha kampeni hiyo na kuahidi kushirikiana nao katika...
View ArticleZiara ya Mama Shein Kisiwani Pemba Kuzungumza na Wa
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Wanawake wa UWT Wilaya ya Micheweni kutowa shukraza kwa kuwapigia kura Wagombea wa CCM katika...
View ArticleArticle 5
SAMWEL SITTA, "MZEE WA SPEED NA VIWANGO" AFARIKI DUNIA AKIWA KWENYE MATIBABU UJERUMANI Spika wa bunge mstaafu, Samwel Sitta, au kama alivyojiita "Mzee wa Speed na Viwango" amefariki dunia usiku wa...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI BUNGENI DODOMA.LE0
Baadhi ya mawaziri na wabunge wakiwasili katika viwanja vya bunge kuhudhulia mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Baadhi ya mawaziri na wabunge wakiwasili...
View ArticleASKARI 152 WAFUKUZWA KAZI.
Na Jacquiline Mrisho – Dodoma.Jumla ya askari 152 wamefukuzwa kazi mwaka huu na Jeshi la Polisi kwa sababu ya kukiuka Sheria, Taratibu na Kanuni ya Jeshi hilo kama zilivyoainishwa katika Kanuni za...
View ArticleArticle 2
BENKI YA TWIGA YATOKA KIFUNGONI ITAANZA KUTOA HUDUMA ZAKE KESHO Gavana wa Benki Kuu. Profesa Beno Ndulu.Na Dotto MwaibaleBENKI ya Twiga Bancorp Ltd (Twiga)ambayo ilikuwa imefungwa kwa muda na Benki Kuu...
View ArticleMAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUGUMZA NA WAUMINI WA DINI YA KIKRISTO
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Viongozi wa Dini wakati akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Amali Vitongoji Pemba, kuzungumza na Waumini wa Dini na kuzindua Albam la...
View ArticleBODI YA PAMBA KUHAMIA MWANZA
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO, DodomaWizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi imejipanga kuhamishia Bodi ya Pamba katika Mkoa wa Mwanza kabla ya Novemba 10 mwaka huu ili kuhakikisha wakulima wa pamba waliopo...
View ArticleMKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO, MHANDISI FELCHESMI MRAMBA, ARIDHISHWA
MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Felchesmi Mramba, (mbele kulia), akikagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa gesi wa Kinyerezi II jijini Dar es SalaamNA...
View ArticleKATIBU TAWALA MKOA WA DAR ES SALAAM, AFUNGUA MAFUNZO YA AWAMU YA
Katibu Tawala wa Mko wa Dar es Salaam, Theresia Mbando, akizungumza wakati akifungua rasmi Mafunzo ya Kampeni ya awamu ya tatu ya 'TUNAWEZA' lenye lengo la kuondoa aina zote za Ukatili wa kijinsia...
View ArticleArticle 11
DC KASULU AKERWA NA WAFUGAJI WANAOHARIBU MSITU WA KAGERANKANDA Na FK Blog- Kigoma,MKUU wa Wilaya ya Kasulu Kanali Martin Mkisi ameeleza kukerwa na tabia ya wakulima na wafugaji wanaovamia hifadhi ya...
View ArticleUNDUGU,URAFIKI,RUSHWA VINAUA NGUMI ZA KULIPWA
Hivi karibuni kumetokea na migongano ya kisheria na fitna ndani ya ngumi za kulipwa na baadhi ya wavamizi kuitumia nafasi hiyo kuisambaratisha kama sio kuua kabisa tasnia ya ngumi za kulipwa.kwa...
View ArticlePPF YAANDIKISHA MAMIA YA WAPANDA BODABODA KUWA WANACHAMA WA MFU
Baadhi ya wapanda boda boda kati ya 250 waliojiunga na Mfuko wa Pnsheni wa PPF kupitia mpango wa "Wote Scheme wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, wakionyesha mfano wa kadi za kujiunga na mpango huo...
View ArticleArticle 8
RAIS DKT. ATEMBEKLEA UJENZI WA BARABARA ZA KIPAPO-MGELEMA NA KUYUNI NGOMENIRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Ngomeni...
View ArticleArticle 7
JOSEPH MUNGAI AFARIKI DUNIANA K-VIS MEDIAWAZIRI wa zamani Bw. Joseph Mungai, (pichani), amefariki dunia jioni hii ya Novemba 8, 2016.Hospitali ya taifa Muhimbili, (MNH), imethibitisha kupokea mwili wa...
View ArticleArticle 6
MFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI OKTOBA 2016, UMEBAKI KUWA ASILIMIA 4.5Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Ruth Minja (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi...
View ArticleArticle 5
DONALD TRUMP ACHAGULIWA KUWA RAIS WA 45 WA MAREKANI, MPINZANI WAKE HILLARY CLINTON AKUBALI MATOKEO AMPONGEZANA K-VIS MEDIA/MASHIRIKA YA HABARIWAMAREKANI wameamua tajiri mkubwa Donald Trump kutoka chama...
View ArticleMOTO MKUBWA WATEKETEZA GHOROFA LA KUIFADHIA SPEA ZA VYOMBO VYA MOTO
Ghorofa la rosheni tatu lililokuwa likitumika kuifadhia spea za pikipiki ,baiskeri na bajaji likiungua moto ,moto ambao uliosababishwa na shoti ya umeme iliotokea jana kwenye mida ya jioni maeneo ya...
View ArticleArticle 3
TUME YA JUMUIYA YA MADOLA KUZINDUA MAKABURI MAPYA YA ASKARI WA KIHINDI TANGA WALIOKUWA KWENYE VITA YA KWANZA YA DUNIA Wakazi wa Usagara Tanga, Joseph Kimani, Martin Kiarie na Ali Hamis wakiangalia...
View ArticleArticle 2
NAIBU SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA ACKSON KATIKA UBORA WAKE Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson (kulia), wa timu ya Bunge akidaka mpira ulioelekezwa golini kwake...
View Article